Tunawekeza hadi Somalia tukipishana na mabomu sembuse kwenu hapo. Hiyo SADC yote tutafika mkiwa mumelala hapo.....hehehe hadi raha.
Soko ambalo bado linatupea changamoto kuingilika ni la Kaskazini, Ethiopia kwenda mpaka Misri, ila wamefungua juzi, tumeshapata leseni ya Safaricom, ukizingatia idadi ya watu Ethiopia ni zaidi ya mara mbili yenu, ujasiri wetu na uthubutu hadi raha hehehehe!!!
Nyie huko mlivyo kero hadi Zambia wamewachoka
Zambia yakamata malori 200 ya Watanzania, nawaza hapa ingekua Kenya hakungekalika kwa kilio humu