KCB Mpo? Nimeinama Nimeinuka Nimeokota Kidude!

KCB Mpo? Nimeinama Nimeinuka Nimeokota Kidude!

mke wangu alikuwa huko, nilimruhusu.
nayajua mabo ya ulabu na shangwe,
niko tayari kupokea kila picha mtakayo tuma, hata kama mmawatoto alisasambua, sitalaumu kwa kuwa niligoma kwenda.
party hiyo ilifanyika ljumaa kwenye ubalozi na makao makuu yao yaliyopo obay.

Kwa Ruksa yako Mkuu . . . LOL

mama.jpg
 
Maumiiivu tele moyoniiiiiii!!


hapana, najua mke wangu anatumia divai,
mimi pia hali kadhalika, kwenye maji kuna mengi.
cha muhimu ni kusameheana na kusahau.
mnaangalia mbele na kuachanana pale mlipoanguka.
i luv my wife in every thing , regard the less how bad it is, or how good it is .
 
Anna_Lupembe.JPG


Wasanii bwana! Mambo ya hisia kali hayo!
 
Unaonekana unakwenda kwenye upekuzi wa chachandu! Naona six amefarijika kweli mbele ya Mbilia
 
sita amependeza kweli, inaonekana roho yake imetulia kabisa
 
Source: http://issamichuzi.blogspot.com/2010/02/kcb-wamwaga-heri-bomani.html#comments

07.JPG


05.JPGjj.JPG


Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya KCB wakisakata muziki wakati wa hafla ya kumpongeza Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa benki ya KCB na mbunge wa kuteuliwa Janet Mbene kwa kuteuliwa kuwa mbunge na Mheshimiwa Rais,na kumwaaga rasmi aliyekuwa Mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo Heri Bomani , Hafla hiyo ilifanyika mwishoni mwa wiki.


Kazi Kweli kweli . . . . bora mimi sijasema!
Duh mi huyo mama wa juu mwenye kigauni cheusi..uchokozi jamani utadhani mbuzi kagoma.
 
Dunia Tamu jamani na hasa Bongo kama uko njema!!ona watu wanakula raha baada ya kazi nzima ya 2009.raha hara tu na kazi kama kawaida tu.
 
Huyo dada mwenye nyeusi na braza mwenye shati jeupe wanacheza bumping!
 
Ni wakati wa kufurahi waacheni wafurahi ukifika wakati wa kulia watalia jamn!
 
juu ya nini waache wafanye kitu roho inataka
 
Mimi Binafsi napenda ni enjoy kama nimeamua kwenda kujiburudisha
Ngoja wafurahi kwa raha zao life is too short
 
Hii picha sijaipenda hata kidogo huyu mama mtu mzima ndo nini kuvaa kiajabu ajabu namna hiyo ..vimiguu vibaya

Hahahahaha mm nimeipenda haswa hilo furushi ingawa miguu chelewa lakini usafiri nyuma anao.
 
Uhuru wa kuongea.......Uhuru wa kuongea..........eeeeh, eeeehh
 
Back
Top Bottom