Lazima nikiri kuwa Wajamaica wameiharibu sana dunia.
Nyimbo zao nyingi za dancehall ni kuuwana na kufanya mapenzi. Mbaya zaidi wakiingia kwenye cheza yap ya DUTTY WINE. Kuna video nyingi za dutty wine ila naona muangalie hii ya huyu mjinga aitwaye Tony Matterhorn. Vituko kama hivi wanaangalia dunia nzima na matokeo ndiyo haya.
Huyo mama wa watu kashangaa kiasi kwamba haamini kwamba yupo Tanzania na kuwa mabinti wanacheza mbele za maboss wao. Huyo kijana na yeye anatumia formula kwamba so longer wanatoa chakula, lazima ule.......
SAUTI NI MBAYA SANA, samahani.
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=japiVCbNJaY[/ame]