Kuna siku nilikuambia kuwa private companies za Kenya ni Kubwa ukapinga sana.But can't give money to GoK so as it can pay for its debts
Maana ni hii hapaHii ina maana gani kwa wakenya 48% ambao ni unemployed, 50% below poverty line, 2M wanaokabiliwa na njaa, 3M wanaoishi slums, na wale wanaouliwa au kujeruhiwa na polisi bila hatia yoyote?
Hizi debate hazina maana ndio sababu hawawezi kuchangia, sisi tunataka kulinganisha iwajibikaji wa serikali za hizi nchi mbili kwa wananchi wao, mambo ya private hayatoi picha ya maendeleo ya watu wa nchi husikaKuna siku nilikuambia kuwa private companies za Kenya ni Kubwa ukapinga sana.
Halafu mbona kwenye debate kama hizi za Kampuni kubwa za Kenya kama KCB au Safaricom kamwe huwezi kuwapata Geza Ulole na The best 007 wakichangia?
Hizi private companies zimeandika kazi thousands of Kenyans na zinawalipa vizuri.Hizi debate hazina maana ndio sababu hawawezi kuchangia, sisi tunataka kulinganisha iwajibikaji wa serikali za hizi nchi mbili kwa wananchi wao, mambo ya private hayatoi picha ya maendeleo ya watu wa nchi husika
Uwajibikaji wa serikali kwa wananchi wake haupimwi kwa kuangalia private sector, hupimwa kwa kuangalia huduma za jamii zinazotolewa na serikali, na miundombinu yenye kuwahudumia wananchi hasa wale wa hali ya chini.Hizi private companies zimeandika kazi thousands of Kenyans na zinawalipa vizuri.
🤣🤣🤣🤣🤣YAK!!!!!KCB can finance Tanzanian budget[emoji23][emoji23][emoji1787]
[emoji736] [emoji736] AsanteUmeimprove sana kwenye mambo ya uchumi. Nimekuwa nikiona kwamba upo makini sana kwenye numbers za kiuchumi.
Kwa hela za wateja labdaKCB can finance Tanzanian budget[emoji23][emoji23][emoji1787]
Pia mabenki kukopesha serikali ni biashara yao wala si jambo la ajabu.Kwa hela za wateja labda
Do you understand the meaning of assets?Kwa hela za wateja labda
Do you really know what assets are?Pia mabenki kukopesha serikali ni biashara yao wala si jambo la ajabu.
Treasury bills na bonds hununuliwa kwa wingi na mifuko ya hifadhi na mabenki. Sio hoja benki ku finance budgate za serikali.
Pia kumbukua, asilimia kubwa ya fedha za benki ni deposit za wanachama. Na ndio wanazozungushia biashara
But your GoK is looking for only $1.3B from lenders, why can't KCB rescue your Government?. Your country is bankrupt while KCB can't help[emoji23][emoji23][emoji23]
Loans for a large part comprises of bank assetsDo you really know what assets are?
Loans received by banks are liabilities. Kumbe I'm discussing with a toddler.Loans for a large part comprises of bank assets
Hiyo ni zaidi ya robo ya uchumi wote wa Tanzania, yaani ujumuishe uchumi wa Tanzania yote bara na visiwani. Kampuni moja tu ya Kenya.
Duh, wakati mwingine ujinga ni kipaji.Loans are liabilities. Kumbe I'm discussing with a toddler.
Benki inapotoa mikopo kwa wateja wake, kiuhasibu hiyo fedha ni assets kwa benki. Mikopo inawaingizia faida benki (interest)Loans are liabilities. Kumbe I'm discussing with a toddler.
When a bank recieves a loan from another institution, that's a liability. Are we together nguruwe?Benki inapotoa mikopo kwa wateja wake, kiuhasibu hiyo fedha ni assets kwa benki. Mikopo inawaingizia faida benki (interest)
Natumai utakua umefuta ujinga we ngumbaru