KCB sasa ina asset value ya ksh 1 trillion. ($10 billion)

Usiwe na akili mgando kijana , behave Kama mtu ambae amefika skuli. Hao 21+ million Ni across the region including Tanzania. Safaricom ipo na over 30+ million subscribers Hawa siyo account holders wa kcb ,kumbuka before upate huduma za KCB Ina maana wewe ni mteja wao , kwani ukitumia mpesa kutuma au kutoa pesa kwa benki kwani utakua unatoa from which account Kama wewe siyo account holder wa kcb?.
 
By the way hujadanganya. Hawa wamepata kuwa Tony254 ndio the weakest spot kwa wakenya wote. Saa zingine huwa naona venye Geza anamgeuza hadi nione aibu. My brother Tony254 we need to talk[emoji23][emoji23][emoji23]
I was also very combative when I joined JF in 2017 but I decided to be myself. I am here to entertain myself not to fight with these people. Some of them are now my friends I even have whatsapp numbers of some of them and we do chat on whatsapp. They tell me the real truth in whatsapp. Here they are just pretending to be tough. For example, when internet was shut down after the election and they had to use VPN to access JF, they are the ones who told me about it in whatsapp. They are very honest there but here they are just putting a front to look tough. I Iook at them as my brothers. Another thing is that anytime they mention something negative about Kenya that is true, I will agree with the truth. I will not say "that is not true" just because they are talking about Kenya. On the other hand if they are wrong about something I will correct them.
 
Tuambie Kenya proportion ya watu wenye accounts za Bank, haiwezi zidi 35%, then tuambie market share ya KCB huko Kenya. Kumbuka 90% ya wateja wa KCB wapo Kenya, huku Tanzania, Uganda, Rwanda na nchi zingine, Market shares za KCB ni less than 5% for each country.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Ok
 
It is not that I have changed. Mkiongea uongo huwa nawarekebisha.
Tatizo la wenzako ni kutetea kila kitu kinachofanyika Kenya hata kama ni upumbavu, wakati hadi viongozi wa Kenya wanakubali kwamba uchumi wa Kenya unaathiriwa sana na kukopa sana, bado hapa wanashupaza mishipa ya shingo kutetea kitendo cha Kenya kukopa.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
I always thought Equity angefanikisha I think Inge make sense sana kwake kuliko KCB hasa kwa upande wa TZ
Equity iendelee na strategy ya kujipenyeza maeneo mengi ya Tzn maana naona imepokelewa kwa positive altitude kuliko KCB benki ya mabwenyenye na haina matawi kwenye miji miingi midogo ya Tzn kama Equity.Pia KCB inaonekana inalenga wafanyabiashara wakubwa na makampuni unlike Equity ambayo ni friendly kwa wadundulizaji.Mimi pia ni mteja wa Equity,mabenki ya kiccm ccm ya crdb na nmb huwa natumia kupitishia miamala ya salario tuu ila sifanyi nao biashara
 
πŸ˜„πŸ˜„ Yeah I agree.
Nadhani Equity waliona strategy ya wenzao KCB wao wakaamua kuwa different na ndio inawaongezea market share daily. So hii dili ingekubali ingewaweka kwenye position nzuri zaidi.
 
KCB na equity Ni benk za mwana nchi wa kawaida ndio maana zinafanya vizuri, benki za matajiri Ni Barclays na standard chartered Bank ndio maana zinapitia wakati mugumu kupata wateja.
 
Mabenki za maccm muziache.
 
πŸ˜„πŸ˜„ Yeah I agree.
Nadhani Equity waliona strategy ya wenzao KCB wao wakaamua kuwa different na ndio inawaongezea market share daily. So hii dili ingekubali ingewaweka kwenye position nzuri zaidi.
Equity bank hata hapa Kenya wana customers wengi kushinda KCB. Equity ndio benki yenye customers wengi sana hapa Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla. Hii ni kwa sababu wao wanaokota kila mtu hata chokoraa anaweza kufungua account nao na wala hawabagui. Hawajali kama una hela ama huna.
joto la jiwe Kenya pia tuna benki ambayo inajali masikini na inaitwa Equity bank. Kwa hivyo wacha hio mentality kuwa benki za Kenya zinajali matajiri tu.
 
If this is the case then inapendeza
 

Ile team vp bro?
πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Ile team vp bro?
πŸ˜‹πŸ˜‹
Team gani? Sina uhakika unazungumza kuhusu team gani. Unawezakuwa unanifananisha na mtu mwingine.
Pengine unazungumzia kuhusu team hii?


 
Team gani? Sina uhakika unazungumza kuhusu team gani. Unawezakuwa unanifananisha na mtu mwingine.
Pengine unazungumzia kuhusu team hii?



Ahaa haa haaa
πŸ˜€πŸ˜πŸ˜ƒ
Haswaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…