YoungD
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 1,275
- 1,332
wewe ni kalulu kweli! umetumia vigezo gani kufikia hiyo conclusion yako?Ndio sababu nikakuambia nyie wakenya ni wajinga sana, mnashabikia ripoti za mezani wakati "on the ground" mnakufa njaa. Mchango wa NMB kwa Tanzania ni mkubwa zaidi ya mchongo wa KCB kwa uchumia wa Kenya, japo by Assets KCB inashinda NMB.
Kuhusu revenue, huyo jamaa yako ni mjinga, sina sababu ya kumjibu. Jambo muhimu ni kujua kwamba, NMB has got bigger economic impact in Tanzania than KCB in Kenya.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
** Mimi nimekuwekea evidence kua KCB ina wateja mara 7 ya NMB sasa unajaribu kutafuta mwanya pa kutokea! ooh njaa sijui maji. twende taratibu.
** ebu tueleze polepole ni vipo NMB ina impact kubwa kuliko impact ya KCB Kenya.