KCB sasa ina asset value ya ksh 1 trillion. ($10 billion)

Ndio sababu nikakuambia nyie wakenya ni wajinga sana, mnashabikia ripoti za mezani wakati "on the ground" mnakufa njaa. Mchango wa NMB kwa Tanzania ni mkubwa zaidi ya mchongo wa KCB kwa uchumia wa Kenya, japo by Assets KCB inashinda NMB.

Kuhusu revenue, huyo jamaa yako ni mjinga, sina sababu ya kumjibu. Jambo muhimu ni kujua kwamba, NMB has got bigger economic impact in Tanzania than KCB in Kenya.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
wewe ni kalulu kweli! umetumia vigezo gani kufikia hiyo conclusion yako?
** Mimi nimekuwekea evidence kua KCB ina wateja mara 7 ya NMB sasa unajaribu kutafuta mwanya pa kutokea! ooh njaa sijui maji. twende taratibu.
** ebu tueleze polepole ni vipo NMB ina impact kubwa kuliko impact ya KCB Kenya.
 
Punguza ujinga nimekuambia

Soma post #84, ukimaliza upunguze ujinga

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
nisha kuambia wewe ni kichwa malenge! sio kila mtu ni Tony254 hapa ku-entertain ujinga wako. naona maumivu yamezidi enda meza panadol. NMB ni kama stima sacco hapa Kenya.
Pumbavu wewe, hii hapa ndio KCB yako,
Ipo na branch 207 wakati NMB ipo na branches 224. KCB ipo na ATM 300 wakati NMB ina ATM 800, jinga sana wewe

Umeona hapo kwa merchants and agents,KCB wanashirikiana na safaricom mpesa ,popote pale ambapo hautapata ATM utaweza kupata huduma za KCB kupitia agents wao ambae in most cases atakua pia anatoa huduma za mpesa na utatumia your ATM card and you can withdraw or make a deposit up to 100K .
 
Kwa taarifa yako Kama una sim card ya safaricom Unaweza ukafanya direct deposit or withdrawal from KCB bank at the comfort of your couch up to 300k .
 
Umeona hapo kwa merchants and agents,KCB wanashirikiana na safaricom mpesa ,popote pale ambapo hautapata ATM utaweza kupata huduma za KCB kupitia agents wao ambae in most cases atakua pia anatoa huduma za mpesa na utatumia your ATM card and you can withdraw or make a deposit up to 100K .
Hiyo ndio sababu wameandika kwamba wana wateja 21M.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I am a customer of NBC I do enjoy the same services too through my mobile phone.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Lengo ni kuwaonyesha kwamba NMB imesambaa nchi nzima sio kama KCB ambayo sana sana imewalenga watu wanaoishi mijini zaidi.

Kcb ipo kila county na subcounty, pale ambapo hawapo Kama branch wanatumia kcb mtaani kutoa huduma,kusambaa si hoja Cha msingi Ni wale ambao wanapewa huduma wanachangamkia vipi uwepo wa hizo benki ,NMB imesambaa lakini walengwa Ni walalahoi kwa hivyo unapata mwisho wa kwisha hakuna pesa ambayo inawekwa kwenye benki .
 
Hujaelewa bado ,sio lazima kcb wawe na tawi lao kwenye kila kijiji ndio ujue wanalenga pia watu wa kiwango Cha chini ,hao wamachinga na mama ntilie kule vijijini wanapata huduma za KCB kupitia agent mtaani ambao wanatoa huduma sawa na benki kabisa.
 
Pumbavu wewe, hii hapa ndio KCB yako,
Ipo na branch 207 wakati NMB ipo na branches 224. KCB ipo na ATM 300 wakati NMB ina ATM 800, jinga sana wewe

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Lengo ni kuwaonyesha kwamba NMB imesambaa nchi nzima sio kama KCB ambayo sana sana imewalenga watu wanaoishi mijini zaidi.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
mbona mnakuanga wajinga hivi lakini?? hata kuelewa data ni shida! KCB kwa website wamesema branches ni 207+ kumaanisha ni zaidi ya hizo lakini ulivyo kichwa malenge huwezi kuelewa hivyo. Data ya NMB unaleta story za vijiweni lakini KCB unaleta website. huwezi kutudanganya sisi wee pimbi.

1606933529299.png
 
Kcb ipo kila county na subcounty, pale ambapo hawapo Kama branch wanatumia kcb mtaani kutoa huduma,kusambaa si hoja Cha msingi Ni wale ambao wanapewa huduma wanachangamkia vipi uwepo wa hizo benki ,NMB imesambaa lakini walengwa Ni walalahoi kwa hivyo unapata mwisho wa kwisha hakuna pesa ambayo inawekwa kwenye benki .
Ndio sababu nikasema kwamba KCB inawalenga sana matajiri sio watu wa hali ya chini ambao ndio wengi. Chanzo cha mjadala huu ni kuonyesha kwamba NMB inachangia zaidi kuwakomboa watanzania kiuchumi kuliko KCB kwasababu inawasaidia watu wa hali ya chini. KCB inawalenga matajiri zaidi.

Hiyo ndio tofauti kubwa kati ya Kenya na Tanzania, uchumi wa Tanzania unawajali na kuwasaidia zaidi watu wengi wa hali ya chini, wakati Kenya ni matajiri na watu wanaoishi mijini ndio wenye kufaidika.

wacha ujinga wewe! yaani unataka kutuambia kuwa wateja zaidi ya milioni 21 wa KCB ni matajiri na wateja milioni 2 wa NMB ni maskini?? Hizi story peleka vijiweni!
Isitoshe, NMB inawasaidia watanzania maskini kivipi?? inawapa hela za bure au....
 
mbona mnakuanga wajinga hivi lakini?? hata kuelewa data ni shida! KCB kwa website wamesema branches ni 207+ kumaanisha ni zaidi ya hizo lakini ulivyo kichwa malenge huwezi kuelewa hivyo. Data ya NMB unaleta story za vijiweni lakini KCB unaleta website. huwezi kutudanganya sisi wee pimbi.

View attachment 1640273
Next time lazima mjifunze kuwa na nidhamu, KCB imeanzishwa 1896 na wakoloni, lakini hadi leo ina ATM 300, wakati NMB hata miaka 50 haijafikisha lakini inamiliki ATM 800, Branches 225 wakati KCB ina branches 207 pekee.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
wacha ujinga wewe! yaani unataka kutuambia kuwa wateja zaidi ya milioni 21 wa KCB ni matajiri na wateja milioni 2 wa NMB ni maskini?? Hizi story peleka vijiweni!
Isitoshe, NMB inawasaidia watanzania maskini kivipi?? inawapa hela za bure au....
Branches 207 ina wateja 21M, NMB branches 225 ina wateja 3M, tumia akili vizuri, pumbavu kabisa. Hao wanajumuisha na wateja wa mobile Money wa safari com ambao hawana account KCB.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Branches 207 ina wateja 21M, NMB branches 225 ina wateja 3M, tumia akili vizuri, pumbavu kabisa. Hao wanajumuisha na wateja wa mobile Money wa safari com ambao hawana account KCB.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
mbona madai yako ya NMB hakuna link hata moja umetoa?? hapa hakuna story za vijiweni! najua unatafuta mpenyo lakini hakuna...
 
By the way hujadanganya. Hawa wamepata kuwa Tony254 ndio the weakest spot kwa wakenya wote. Saa zingine huwa naona venye Geza anamgeuza hadi nione aibu. My brother Tony254 we need to talk[emoji23][emoji23][emoji23]

Back
Top Bottom