game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Hapana bwana, hao jamaa maharamia wa somalia hata viatu tu hawana, ile siku kdf walitoka kituko cha century baada ya kwenda na tanks pale garisa as if wanaenda battlefield. [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Yeah
Hapi ongezea marekani, ufaransa ,uturuku, uchina
Tuko pale juu .....tunapigana vitani hatupasui matofali