Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
- Thread starter
-
- #81
Eti Mbolea!!!!!! ha, yani jamaa hautaki kabisa iwe ni KDF inasaidiaNani kakuambia wanashida na madaktari?, shida ni materials kama dawa, vyakula na sehemu za kuishi, hiyo picha hapo juu hakuna ushahidi wowote kwamba Kenya imetoa msaada, huyo chalii anayepokea huo mfuko wa mbolea ana uhusiano gani na serikali ya Msumbiji?, kawaida msaada hukabidhiwa kwa serikali kwanza, wao ndio wanajua wapi wapeleke.
Sent using Jamii Forums mobile app
KDF iko na Deprtment inaitwa Kenya Ordinance Factory Coporation ----- ambayo kazi yake ni kutengeneza risasi na spare parts zinazotumika na KDF.... Mbali ha hilo KOFC wako na kiwanda cha Food Procssing na hutengeneza vyakula tofauti vilivyokaushwa..... Kwa mfano nyinyi Tz ambao mmeanza juzi juzi kusaidia hamjui kwamba kukitokea janga kama hilo ambapo watu wamepoteza manyumba na kila kitu ndani, Mkipelleka mahindi mabichi hao mnaojaribu kuwasaidia hawana jiko wala sufuria manake wamepoteza mali yao yote, wanahitaji vyakula ambavyo viko tayari...... Mahindi yenu bado yako store yanangojea watu watafutiwe makaazi mbadala na wapewe vyombo vya kupikia....
Anyway, vyakula vinavyotengenezwa na KOFC vinahitaji tu kuchanganywa na maji moto, na hata kama huna majimoto unaweza kutumia maji baridi
Vyakula hivyo hupakiwa ndani ya mabandari