joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Point ni kwamba Kenya hamna uwezo wa kutoa msaada, Kama hata chakula bado mnasaidiwa hadi Leo miaka 56 baada ya Uhuru. Nchi zote zinazotoa misaada zinajitangaza, hata ninyi mlipotupatia vile vi blanket vya kichina tulipokumbwa na tetemeko mlitangaza.Kati ya sisi na nyinyi ni nani ambaye anataka publicity, Hakuna nchi nyengine iliotangaza imepeleka madawa kiasi gani wala chakula kiasi ghani, Nyinyi Tanzania mmeanza leo na tayari kiburi kimefika kwa koo eti unataka sasa tuanze kulinganisha misaada iliotolewa na Ke Vs Tz na thamani yake...... What a low human bieng you are!
Kenya itasaidia ndugu zake siku zote, hata kama hatuna kitu sio kama nyinyi mnasadia msimu wa mahindi pekee
Tumepeka msaada wa vyakula, madawa, nguo na blankents "TanzaniAid"
Sent using Jamii Forums mobile app