Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Hamieni Asia basi tuone kama hizo bidhaa hazitapita.Onyesha kitaalamu ni vipi Kenya inaweza kuishi bila Tanzania, wakati raw materials za viwanda vyenu vya nguo, cement, ngozi, tiles na vyakula mnategemea Bongo?. Bidhaa zenu zote zinazokwenda Malawi, Zambia, Zimbabwe, Namibia, na Angola zinapitia Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pasaka inakaribia, ile safari vipi?Hamieni Asia basi tuone kama hizo bidhaa hazitapita.
Na ujue hapa Kenya hakuna chakula kinachoitwa Tanzania. Fungeni mpaka.
Ndege za KDF ndio zinazopeleka maua na minofu ya samaki Ulaya?, ama kweli kuwa chizi sio lazima uokote makopo. Tunazungumzia KDF waliopo Mozambique, acha kuparamia story kwa mbele.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha, wewe chizi, jeshi linajitegemea, ukisikia JWTZ, au KDF wanatoa msaada, wanatumia usafiri wao, iwe ni air, road au sea, hawatumii civilian means of transportation, wapi umesikua au umeona jeshi linatumia MAGARI au ndege za kiraia kupeleka misaada hapa duniani?KDF wanatumia ndege za Tanzania au za UK? au manowari/meli za Ulaya kwenda Msumbiji? Kenya Defense Forces husafiri kwenda Msumbiji using their own transport facilities and not restricted to KDF aircrafts only but also Kenya commercial transport media! Au wanaruka na magwanda ya kijeshi yenye mabawa(wings)?Use common sense please!
Arusha hakuna umeme πPasaka inakaribia, ile safari vipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu turkana na kule wajir watu wanakufa na njaa bila shaka huo ni msaada wa marekani mumeenda kuwakilishaππππBila mbwembwe na sherehe au tangazo rasmi kwa vyombo vya habari, KDF walitumwa Kwa nchi zilizokumbwa na Cyclone Kule kusini mwa Africa ... walipeleka blankets,madawa na vyenginevyo ikiwemo madaktari ...
KDF in Mozambique
View attachment 1058536View attachment 1058537View attachment 1058538View attachment 1058539
We punguani kweliEti nyinyi ndo mlianzisha FRELIMO, pwahahaha .... Hizi ni hadhithi za abunuasi. nje ya Tz story ni tofauti.... Lakini endelea kujipigia gitaa ! Ha!
Alshabab wazidi tu kuwatafuna marinda yenu...naona bado ubongo zenu hazijaka Sawaeti mlimpiga iddi amini...wapi hko..sema mliungana museven na ndio mkapambana amini...wacha kutuletea uboya sisi...
ala kafrican yani joto la jiwe anamaanisha 5% ya watu msumbiji ndio walipigania uhuru..hku 95% walikaa kando wakiwaangalia jwtz hku wakikenua meno tu....bwahaaaaaa
Ushindwe sana pepo nyeusi.Alshabab wazidi tu kuwatafuna marinda yenu...naona bado ubongo zenu hazijaka Sawa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
ile siku utatekwa ndio utajuwa km ccm si ya mama yakoAlshabab wazidi tu kuwatafuna marinda yenu...naona bado ubongo zenu hazijaka Sawa
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia we mnziile siku utatekwa ndio utajuwa km ccm si ya mama yako