KDF in Mozambique

KDF in Mozambique

Onyesha kitaalamu ni vipi Kenya inaweza kuishi bila Tanzania, wakati raw materials za viwanda vyenu vya nguo, cement, ngozi, tiles na vyakula mnategemea Bongo?. Bidhaa zenu zote zinazokwenda Malawi, Zambia, Zimbabwe, Namibia, na Angola zinapitia Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamieni Asia basi tuone kama hizo bidhaa hazitapita.
Na ujue hapa Kenya hakuna chakula kinachoitwa Tanzania. Fungeni mpaka.
 
Ndege za KDF ndio zinazopeleka maua na minofu ya samaki Ulaya?, ama kweli kuwa chizi sio lazima uokote makopo. Tunazungumzia KDF waliopo Mozambique, acha kuparamia story kwa mbele.

Sent using Jamii Forums mobile app

KDF wanatumia ndege za Tanzania au za UK? au manowari/meli za Ulaya kwenda Msumbiji? Kenya Defense Forces husafiri kwenda Msumbiji using their own transport facilities and not restricted to KDF aircrafts only but also Kenya commercial transport media! Au wanaruka na magwanda ya kijeshi yenye mabawa(wings)?Use common sense please!
 
KDF wanatumia ndege za Tanzania au za UK? au manowari/meli za Ulaya kwenda Msumbiji? Kenya Defense Forces husafiri kwenda Msumbiji using their own transport facilities and not restricted to KDF aircrafts only but also Kenya commercial transport media! Au wanaruka na magwanda ya kijeshi yenye mabawa(wings)?Use common sense please!
Hahahahaha, wewe chizi, jeshi linajitegemea, ukisikia JWTZ, au KDF wanatoa msaada, wanatumia usafiri wao, iwe ni air, road au sea, hawatumii civilian means of transportation, wapi umesikua au umeona jeshi linatumia MAGARI au ndege za kiraia kupeleka misaada hapa duniani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tehe tehe the,wakija All shabab utaona wanavyopata tabu
 
Updated

D39opRVW0AE3YCp.jpg:large



 
Eti nyinyi ndo mlianzisha FRELIMO, pwahahaha .... Hizi ni hadhithi za abunuasi. nje ya Tz story ni tofauti.... Lakini endelea kujipigia gitaa ! Ha!
We punguani kweli
Kwa taarifa yako harakati za kuikomboa msumbiji walikuwa wanazifanyia tanzania!
Hivi mondlane aliuliwa nairobi kenya ehhhh...
Nijibu ????

Tanzania ni baba yenu na walezi zenu wote hao m7,kabila etc tanzania ndy ilikuwa base yao .....

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
eti mlimpiga iddi amini...wapi hko..sema mliungana museven na ndio mkapambana amini...wacha kutuletea uboya sisi...

ala kafrican yani joto la jiwe anamaanisha 5% ya watu msumbiji ndio walipigania uhuru..hku 95% walikaa kando wakiwaangalia jwtz hku wakikenua meno tu....bwahaaaaaa
Alshabab wazidi tu kuwatafuna marinda yenu...naona bado ubongo zenu hazijaka Sawa

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TPDF ni jeshi la kubangua korosho, hamna kitu cha maana wanaweza.
 
Back
Top Bottom