Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Hamieni Asia basi tuone kama hizo bidhaa hazitapita.Onyesha kitaalamu ni vipi Kenya inaweza kuishi bila Tanzania, wakati raw materials za viwanda vyenu vya nguo, cement, ngozi, tiles na vyakula mnategemea Bongo?. Bidhaa zenu zote zinazokwenda Malawi, Zambia, Zimbabwe, Namibia, na Angola zinapitia Tanzania.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ujue hapa Kenya hakuna chakula kinachoitwa Tanzania. Fungeni mpaka.