KDF kusafirisha msaada kwa wahanga wa tetemeko la ardhi Tanzania

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Likitokea janga lazima tunaweka tofauti zetu pembeni na kuwa pamoja katika kulishughulikia. Kenya imejitolea kupokeza misaada kwenda kwa wahanga wa tetemeko la ardhi lililokumba nchi jirani ya Tanzania, kule mkoa wa Kagera.

Rais Uhuru amempigia simu rais wa Tanzania John Pombe Magufuli na kumpa rambirambi zake kwa niaba ya Wakenya. Jeshi letu la KDF litatumia ndege yake kusafirisha hiyo misaada.

Poleni majirani, pale Kagera nina marafiki zangu wa karibu na walinitumia picha kwenye whatsapp nyumba yao ilivyoanguka. Natumai hili janga halitatendeka tena. Mwenyezi Mungu awape uvumilivu na kuwalinda.

============================

Kenya will donate iron sheets, blankets and mattresses to Tanzania in disaster assistance following the deadly earthquake on Saturday.

The materials will be airlifted by the Kenya Defence Forces on Tuesday to assist those affected by the disaster.

On Monday, President Uhuru Kenyatta phoned President John Pombe Magufuli to express solidarity and sympathy to the Tanzanian government and its citizens following the loss of lives, injuries and destruction of property resulting from the earthquake.

“I have learnt with deep sorrow and regret the loss of sixteen precious lives, injury to hundreds of our Tanzanian brothers and sisters, as well as massive destruction of property and livelihoods following the devastating earthquake in Bukoba District, in North Western Tanzania,” President Kenyatta said.

He added: “On behalf of the Government and the people of Kenya, and on my own behalf, I extend heartfelt condolences and sympathies to Your Excellency, the Government and people of Tanzania, and particularly to the grieving families.”

President Kenyatta wished those injured quick recovery and prayed to God to comfort the bereaved families.

SOURCE: Kenya offers support over TZ earthquake
 
Tunashukuru kwa msaada wa wakenya lkn watanzania hatuna shida/tofauti na Kenya na tuna upendo wa dhati namajirani zetu karibu tz.

Asante, jamaa wananiambia jana usiku walitikiswa kidogo na ikabidi walale nje, jameni inatisha. Vipi naomba wataalam wa haya mambo waniambie kama yanaweza kuhusishwa na zile tests anazozifanya yule kichaa wa Korea Kaskazini, maana alifanya majaribio huko hadi watu wakahisi tetemeko la ardhi.
 
Naimani na wewe kuwa ni mwana chama mtiifu wa UKAWA.
 
Likitokea janga lazima tunaweka tofauti zetu pembeni na kuwa pamoja katika kulishughulikia. Kenya imejitolea kupokeza misaada kwenda kwa wahanga wa tetemeko la ardhi lililokumba nchi jirani ya Tanzania, kule mkoa wa Kagera.

Rais Uhuru amempigia simu rais wa Tanzania John Pombe Magufuli na kumpa rambirambi zake kwa niaba ya Wakenya. Jeshi letu la KDF litatumia ndege yake kusafirisha hiyo misaada.

Poleni majirani, pale Kagera nina marafiki zangu wa karibu na walinitumia picha kwenye whatsapp nyumba yao ilivyoanguka. Natumai hili janga halitatendeka tena. Mwenyezi Mungu awape uvumilivu na kuwalinda.

============================

Kenya will donate iron sheets, blankets and mattresses to Tanzania in disaster assistance following the deadly earthquake on Saturday.

The materials will be airlifted by the Kenya Defence Forces on Tuesday to assist those affected by the disaster.

On Monday, President Uhuru Kenyatta phoned President John Pombe Magufuli to express solidarity and sympathy to the Tanzanian government and its citizens following the loss of lives, injuries and destruction of property resulting from the earthquake.

“I have learnt with deep sorrow and regret the loss of sixteen precious lives, injury to hundreds of our Tanzanian brothers and sisters, as well as massive destruction of property and livelihoods following the devastating earthquake in Bukoba District, in North Western Tanzania,” President Kenyatta said.

He added: “On behalf of the Government and the people of Kenya, and on my own behalf, I extend heartfelt condolences and sympathies to Your Excellency, the Government and people of Tanzania, and particularly to the grieving families.”

President Kenyatta wished those injured quick recovery and prayed to God to comfort the bereaved families.

Kenya offers support over TZ earthquake

Kweli Wakenya sasa Maji ya Shingo kwa Bongo, wao kila siku wanashambuliwa na Magaidi kule Kaskazini Mashariki ya nchi yao na hatujawai kuwasikia wanapelekeana miasaada,

Kaka mwambie uhuru, EPA Hatusign, na Raila yuko mlangoni
 
Likitokea janga lazima tunaweka tofauti zetu pembeni na kuwa pamoja katika kulishughulikia. Kenya imejitolea kupokeza misaada kwenda kwa wahanga wa tetemeko la ardhi lililokumba nchi jirani ya Tanzania, kule mkoa wa Kagera.

Rais Uhuru amempigia simu rais wa Tanzania John Pombe Magufuli na kumpa rambirambi zake kwa niaba ya Wakenya. Jeshi letu la KDF litatumia ndege yake kusafirisha hiyo misaada.

Poleni majirani, pale Kagera nina marafiki zangu wa karibu na walinitumia picha kwenye whatsapp nyumba yao ilivyoanguka. Natumai hili janga halitatendeka tena. Mwenyezi Mungu awape uvumilivu na kuwalinda.

============================

Kenya will donate iron sheets, blankets and mattresses to Tanzania in disaster assistance following the deadly earthquake on Saturday.

The materials will be airlifted by the Kenya Defence Forces on Tuesday to assist those affected by the disaster.

On Monday, President Uhuru Kenyatta phoned President John Pombe Magufuli to express solidarity and sympathy to the Tanzanian government and its citizens following the loss of lives, injuries and destruction of property resulting from the earthquake.

“I have learnt with deep sorrow and regret the loss of sixteen precious lives, injury to hundreds of our Tanzanian brothers and sisters, as well as massive destruction of property and livelihoods following the devastating earthquake in Bukoba District, in North Western Tanzania,” President Kenyatta said.

He added: “On behalf of the Government and the people of Kenya, and on my own behalf, I extend heartfelt condolences and sympathies to Your Excellency, the Government and people of Tanzania, and particularly to the grieving families.”

President Kenyatta wished those injured quick recovery and prayed to God to comfort the bereaved families.

Kenya offers support over TZ earthquake
Nina was was na hii taarifa kuwa cooked
 
Many thanks to the government and people of Kenya. [HASHTAG]#OnePeopleOneDestiny[/HASHTAG]
 
Asante, jamaa wananiambia jana usiku walitikiswa kidogo na ikabidi walale nje, jameni inatisha. Vipi naomba wataalam wa haya mambo waniambie kama yanaweza kuhusishwa na zile tests anazozifanya yule kichaa wa Korea Kaskazini, maana alifanya majaribio huko hadi watu wakahisi tetemeko la ardhi.
Exactly...mimi mwenyewe nahc ni hayo majaribio ndo yamesababisha...na wamesema watafanya mengine...asije tu akaitoboa dunia
 
thanks kwa misaada#kenyas, thou sikujua kama kunatofauti baina ye2
 
Tunashukuru kwa msaada wa wakenya lkn watanzania hatuna shida/tofauti na Kenya na tuna upendo wa dhati namajirani zetu karibu tz.[/QUOTE

Naomba nikupeleke safari fupi hapa Jf kinyume na madai yako. Tembelea Uzi wowote kuhusu mashambulio ya kigaidi Kenya ujionee sherehe za watz wenzako kutokea kwa shambulio na vifo andamizi. Unaposema Tz ni upendo wa dhati na shuku Sana.
 
Back
Top Bottom