Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Ni jambo zuri na tunaendeleza undugu mwema
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ukiropoka upuuzi unapata faida gani!!?A leader is tested in times of agony and despair. Kwetu naona yupo kimya as if hakuna kitu
Acha kupanic wewe, tupokee msaada acha kejeli.Tunashukuru kwa msaada wa wakenya lkn watanzania hatuna shida/tofauti na Kenya na tuna upendo wa dhati namajirani zetu karibu tz.
Acha ujinga kama unachuki na Rais wetu sema maana umeandika kama sio Raia wa TanzaniaA leader is tested in times of agony and despair. Kwetu naona yupo kimya as if hakuna kitu
Tunashukuru wakenya kwa kuguswa kwenu na hili kadhia lililotumba tunatambua sote ni ndugu ndani ya mwavuli wa EAC.Asante, jamaa wananiambia jana usiku walitikiswa kidogo na ikabidi walale nje, jameni inatisha. Vipi naomba wataalam wa haya mambo waniambie kama yanaweza kuhusishwa na zile tests anazozifanya yule kichaa wa Korea Kaskazini, maana alifanya majaribio huko hadi watu wakahisi tetemeko la ardhi.
Exactly...mimi mwenyewe nahc ni hayo majaribio ndo yamesababisha...na wamesema watafanya mengine...asije tu akaitoboa dunia
Ni jambo la kawaida na zuri, lakini ni strategic nzuri ya Kenyatta kuondoa sintofaham kwa wakenya kuhusu uhusiano wake na Tanzania lakini , hii sio kwamba wakenya wako juu yetu Bali kulichofanyika ni ujirani mwema tu
Hata Mimi Nina was was na umri wako ,Nina mashaka na umri wako wewe, hapa hamna anayeongea masuala ya nani yuko juu ya nani. Mbona huna aibu unapoleta ligi kwa issue kama hii. Jifunze kitu kutoka kwa Watanzania wenzako humu,.
Wewe binafsi unahusika vipi katika kuwasaidia hao wahanga, au ndio umeshiba ubwabwa kitaani hadi unatoa ushuzi na kubweteka.
Huu ni wakati wa majonzi na sote tunaungana pamoja, hili tetemeko tumelihisi hadi Kenya japo halikubomoa, hivyo ina maana halina mipaka ya nchi na linaweza kuibuka popote hadi hapo ulipo. Ukikua kiumri utafaidika sana.
Wewe ukiropoka upuuzi unapata faida gani!!?
Acha ujinga kama unachuki na Rais wetu sema maana umeandika kama sio Raia wa Tanzania