KDF kusafirisha msaada kwa wahanga wa tetemeko la ardhi Tanzania

KDF kusafirisha msaada kwa wahanga wa tetemeko la ardhi Tanzania

kutuma representative wa ku mediate ni jambo la kawaida, hata sisi tumefanya hivyo na nchi zengine... that is the least any neutral neighbour should do .. action ingekua kama mngeamua kutuma mablanketi,chakula, maji safi kwa wale walioathirika na kukimbia (internally displaced people) ama kuna wale wengine walikua karibu na boda ya Uganda na wakimbilia upande wa Uganda, mngetuma msaada huko ...hao watu hawangewai sahau msaada kama huo

Tanzania imeshawahi na inaendelea kupokea wakimbizi toka nchi nyingi zilizo kwenye ukanda wa maziwa makuu.

Inawasaidia kile ilicho nacho kwa ushirika na UNHCR.
 
Asanteni ndugu zetu. Ukiondoa siasa za mitandaoni, mimi nikikutana na Wakenya nje ya nchi huwa tunakuwa marafiki wa karibu kweli kweli
watanzania na wakenya ni watoto wanao fatana au unaweza kusema ni mapacha aina ya ESAU na JACOB..but kiuhalisia ni ndugu kabisa
 
Tanzania imeshawahi na inaendelea kupokea wakimbizi toka nchi nyingi zilizo kwenye ukanda wa maziwa makuu.

Inawasaidia kile ilicho nacho kwa ushirika na UNHCR.
Hilo nalo pia ni kawaida.... mi naongelea kuhusu nyinyi wenyewe kama nchi, kwa hiari yenu, kuchukua hatua bila kuulizwa na mtu
 
Hilo nalo pia ni kawaida.... mi naongelea kuhusu nyinyi wenyewe kama nchi, kwa hiari yenu, kuchukua hatua bila kuulizwa na mtu

Hiyo ni hatua moja wapo.

Mbona nyie mlitaka kuwafukuza wakimbizi na kuifunga Dadab?
 
Kafrican said:
Next time pia kenya ikipatwa na janga msituache pekeetu,,,msimame nasi kwa maombi na vitendo
2007 PEV,Rais wetu alienda kenya kujaribu kupatanisha pande Mbili ili a man I ipatikane,pia TZ, iliwahifadhi wakimbizi.so Tz na kenya in marafiki toka jadi.
 
watakuwa wajinga kufikiri tunaweza ku-comprimize our industrial future kwa sheets and blankets!

Mkuu hapa EPA wala haipo, na sidhani Uhuru anaeza stoop that low. it's just a good gesture na ujirani mwema, tunasimama pamoja wakati mambo yanafanyika, don't read too much into it.
 
Hiyo ni hatua moja wapo.

Mbona nyie mlitaka kuwafukuza wakimbizi na kuifunga Dadab?
Hiyo ni hatua moja wapo.

Mbona nyie mlitaka kuwafukuza wakimbizi na kuifunga Dadab?

Baada ya kuwaeka kwa miaka 30, wengine ni watu wazima na hawajawai kanyaga somalia, tena wengine wanazidi kuongezeka, alafu mbaya zaidi, magaidi wa westgate walitumia hio kambi kama njia ya kuingilia kenya ....... kenya kuna watu 21,000 ambao wanaitwa stateless people, hawana nchi ya kurudi... tuko na refugees wa kutika south sudan,burundi hata DRC...... kuna wengine tunasoma nao huku walikuja ule wakati wa vita vya hutu. a tutsi hawajawai rudi.... so kama nilivyosema, hilo ni jambo la kawaida kwetu
 
The Government of Kenya has announced that it would donate US$1 M (One Million United States Dollars) to aid Liberia, Sierra Leone, and Guinea to fight against the deadly Ebola Virus Disease (EVDhttp://www.mofa.gov.lr/public2/2press.php?news_id=1275&related=7&pg=sp

------

The Government of Kenya today donated one million U.S. dollars, the equivalent of Kshs 82 million, to assist victims of the devastating earthquake and Tsunami that hit Japan in March this year.
Kenya donates Kshs 82 million to assist Japanese quake victims

-----))

Kenya has donated $1 million (Sh91 million) to Malawi flood victims, Foreign Affairs principal secretary Dr Karanja Kibicho has said.
Dr Kibicho said Kenya identifies with the people and the Government of Malawi over the unexpected disaster that has befallen the country.
“We commiserate with the people of Malawi following unexpected flooding that has killed and rendered thousands others homeless. Kenya is offering a little hand to help in humanitarian effort,” said Dr Kibicho Friday morning
Kenya donates Sh91m to Malawi flood victims

----------))

The South Sudan capital of Juba has returned to relative calm, which has allowed dialogue to kick in.
A Ministerial delegation from the development agency IGAD is already in Juba and has started mediation between the parties involved.
Our own Cabinet Secretary for Foreign Affairs and International Trade, Ambassador Amina Mohamed, is in that team.
As a neighbour with knowledge of the South Sudan and who has worked closely with the government there, the government has sent additional mediators to help with the dialogue.
They include General (Rtd) Elijah Sumbeiywo, as well Amb. Bethwel Kiplagat, Rev. Julius Kobia, Hon. Dalmas Otieno, Amb. Elijah Matibo and Hon Mark Too.
Despite the relative calm in Juba, a number of other South Sudan towns have come under fire, and as a result, His Excellency President Uhuru Kenyatta, who is also Commander-in-Chief of the Kenya Defence Forces (KDF), has now ordered the KDF to commence immediate evacuation of the one thousand six hundred (1,600) Kenyans stranded in South Sudan.
The Kenyans are mainly in the town of Bor, in Jonglei State. There are also Kenyans in the towns of Rumbek, Ayod, and Panyabol, who will also be airlifted to safety.
The President has also ordered the immediate delivery of food, water and medicine to South Sudan to assist tackle the emergency.
The delivery of these emergency supplies started this morning. Kenyan military aircraft are delivering consignments to South Sudan.
BREAKING NEWS: President Uhuru orders KDF to evacuate 1600 Kenyans in Southern Sudan
 
Iconoclastes, pitia CCTV Africa fb page uone Wakenya wanavyofurahia tetemeko la Ardhi Tanzania
I cant find the comments where they were rejoicing over your grief. Instead I've found this

CCTV Africa | Facebook

Iconoclastes, nikuulize swali, if Kenya and Mozambique r both attacked at the same time by invader who do u think will Tanzania assist to fend off invader? And why? Najua una jibu..
A situation like that is highly unlikely, but I am certain Tz would rather rush to assist Mozambique and not Kenya.
 
I cant find the comments where they were rejoicing over your grief. Instead I've found this

CCTV Africa | Facebook

A situation like that is highly unlikely, but I am certain Tz would rather rush to assist Mozambique and not Kenya.
Why? and what if Kenya and Tanzania are invaded and Uganda has to make a decision which of the two to assist?
 
Why? Tanzanians dont have that much liking for Kenyans. Tanzania may only rush to assist Kenya in order to safeguard its interests. I.e. to offset adverse political, economic or security consequences on its territory that may arise due to the troubles in Kenya. Otherwise, Tanzanians generally despise Kenyans.
C'mon, let us not kid each other here (cc Bavaria), Tanzania was only compelled to intervene in the Kenya's 2007/08 chaos cos
a)the downfall of Kenya would have had a very negative impact on the Tanzania's economy, since Tz's economy is still greatly anchored on Kenya's
b)the violence in Kenya had the risk of spilling over into the other regions within the east and central Africa region. Tanzania too would have definately borne the brunt of the violence in Kenya, ie the proliferation of small arms into the country, having to deal with refugees from Kenya, Rwanda, Burundi , DRC and Uganda.

Tanzania would on the other hand all too readily and unconditionally rush to defend Mozambique, even without any likelihood of the above repercussion following in the Mozambique conflict.
 
seriously? Actually the opposite is true for (i) that crisis would have availed an opportunity for many of the companies and institutions in Kenya to cross and establish themselves in Tanzania esp. in Arusha! If u remember the statement from the leadership at UNON they said they will decamp to Arusha if the violence and insecurity persisted! the only problem is we did not want to start hosting refugees from Kenya in our Northern circuit a plum of our tourism!
 
Why? and what if Kenya and Tanzania are invaded and Uganda has to make a decision which of the two to assist?
Uganda would rather try to save us both, they arent likely to exercise bias towards either Kenya or Tanzania.
However, they would be constrained to rather first attempt to save Kenya in order to open up the supply route for essential commodities into their country. A move which would greatly upset Tanzania.
 
Back
Top Bottom