Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani kwenye uzi huu wewe ulichoona uchangie ndio hiki ?Wewe ukiropoka upuuzi unapata faida gani!!?
Wewe ulitakaje?Yaani kwenye uzi huu wewe ulichoona uchangie ndio hiki ?
Kuna matusi ya jumla na ya reja reja. hili laweza kuwa la Reja reja.A leader is tested in times of agony and despair. Kwetu naona yupo kimya as if hakuna kitu
Next time pia kenya ikipatwa na janga msituache pekeetu,,,msimame nasi kwa maombi na vitendo
Next time pia kenya ikipatwa na janga msituache pekeetu,,,msimame nasi kwa maombi na vitendo
Ufike wakati akili ziwarudi wekeni mbali itikadi ya vyama, waliopatwa na majanga hayajachagua wa chama flaniNaimani na wewe kuwa ni mwana chama mtiifu wa UKAWA.
kutuma representative wa ku mediate ni jambo la kawaida, hata sisi tumefanya hivyo na nchi zengine... that is the least any neutral neighbour should do .. action ingekua kama mngeamua kutuma mablanketi,chakula, maji safi kwa wale walioathirika na kukimbia (internally displaced people) ama kuna wale wengine walikua karibu na boda ya Uganda na wakimbilia upande wa Uganda, mngetuma msaada huko ...hao watu hawangewai sahau msaada kama huoMlivyokatana mapanga 2007 tulisimama na nyie hadi mkapatana na kuweka tofauti zenu.