KDF kusafirisha msaada kwa wahanga wa tetemeko la ardhi Tanzania

KDF kusafirisha msaada kwa wahanga wa tetemeko la ardhi Tanzania

WAKWETU JUZI WALIFAGIA YAANI MBOWE ACHENI TU ANAJUWA KUCHEZA NA AKILI ZA WATU MPAKA BASI
 
I was so hurt when I saw the things some Tanzanians wrote in the wake of the Lamu attacks. Yani they rejoiced, some wished for more attacks, other even expressed regret that only a "few" had died.

Anyway, risala zetu za rambirambi kwa mandugu zetu Tz.
 
Kwani waTZ wana utofauti na KE... toka lini? Tanzania is the home of hospitality. ...toroka uje..
 
EPA ni habari nyingine isihusishwe, ila asanteni kwa msaada na timely response! Huku kwetu taasisi zinaogopa kutoa misaada kisa jamaa kukataza matumizi na pia majuzi alikataa kuwajengea nyumba waathirika wa mafuriko waliohaidiwa na JK..kila mtu anafanya kazi kwa woga!
 
Next time pia kenya ikipatwa na janga msituache pekeetu,,,msimame nasi kwa maombi na vitendo

Mlivyokatana mapanga 2007 tulisimama na nyie hadi mkapatana na kuweka tofauti zenu.
 
Iconoclastes, nikuulize swali, if Kenya and Mozambique r both attacked at the same time by invader who do u think will Tanzania assist to fend off invader? And why? Najua una jibu..
 
Next time pia kenya ikipatwa na janga msituache pekeetu,,,msimame nasi kwa maombi na vitendo

Sisi huwa always tuko nanyi unakumbuka JK nadhani na Mkapa walikuja kusaidia kusuluhisha matatizo baada ya uchaguzi kuchafuka.. Tuko pamoja..
 
I will always respect Kenya and Kenyans for this act..sisi uku bukoba tulitamani tungekua ndani ya Kenya here in TZ its like we don't pay tax...asanteni sana wakenya kwa msaada kwenu our leaders have abandoned us walikuja kufika tu kana kwamba sisi tulishindwa kuzikana vitu vya msingi na nahitaji hakuna alijisumbua kutusaidia kila Uhuru pekeyake..again thank you kenya and a Kenya tax payers..
 
Mijitu jameni, huu uzi sijaanzisha kwa minajili ya ligi baina ya Kenya na Tz au baina ya UKAWA na CCM, hebu tuwe wastaarabu kama watu waliobahatika kuona darasa la shule. Ndugu zetu kule Kagera wanahitaji misaada. Hapo ulipo unaweza ukahusika kwa njia moja au nyingine.
 
Yaani tu,,, nisiseme.

Hata ndani ya dhiki, kuna mijitu ya JF hayawezi kubainisha utani na vijembe vya kila siku humu ndani na ujirani wema kati ya nchi zetu. Nasikitika
 
Naimani na wewe kuwa ni mwana chama mtiifu wa UKAWA.
Ufike wakati akili ziwarudi wekeni mbali itikadi ya vyama, waliopatwa na majanga hayajachagua wa chama flani
 
Mlivyokatana mapanga 2007 tulisimama na nyie hadi mkapatana na kuweka tofauti zenu.
kutuma representative wa ku mediate ni jambo la kawaida, hata sisi tumefanya hivyo na nchi zengine... that is the least any neutral neighbour should do .. action ingekua kama mngeamua kutuma mablanketi,chakula, maji safi kwa wale walioathirika na kukimbia (internally displaced people) ama kuna wale wengine walikua karibu na boda ya Uganda na wakimbilia upande wa Uganda, mngetuma msaada huko ...hao watu hawangewai sahau msaada kama huo
 
Back
Top Bottom