KDF to buy 118 top military vehicles to fight al Shabaab

Swali.
Mlivyo kuwa mna nunua APC zingine upto 2019, Al shaabab walikuwa hawatumii IED?

Yaani as recent as 2019 mmenunua APCs leo mnasema eti mna nunua zingine kwa sababu ya IED, as if kulikuwa hakuna IED before.

Mi naona hapo ni chaka lingine la kuiba hela.

And where are the funds coming from? Please tell me its not another loan.
 
Wiki mbili zipi hzo[emoji23][emoji23]
 
Aisee Kenya wana Puma na Bastion. Bado wanaongeza hizi kazi ya Mturuki ambazo zinakuwa zikifanya patrol mpakani mwa Syria na vilevile Libya na Azerbaijan. Basi APC fleet yao iko vizuri sana
 
Kama nipo sahihi ulikuwa 1982 jeshi la Kenya lilijaribu kumpindua Rais Moi,ajabu ikatokea jeshi lilithibitiwa na polisi!mavifaa yote yalishindwa mbele G3 tu.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Uongo. Kama hujui kitu funga mkund*. Jeshi lilidhibitiwa na jeshi. Vijana wachache wa Kenya airforce waliokuwa wamepanga kupindua serikali walidhibitiwa na jeshi la ardhi yaani army. Sio polisi kama unavyodanganya watu.
 
Km ni waume si wakapigane na vikosi vyetu, na bado kisha special forces wataendelea kuwafinya pumbu zao
 
Uongo. Kama hujui kitu funga mkund*. Jeshi lilidhibitiwa na jeshi. Vijana wachache wa Kenya airforce waliokuwa wamepanga kupindua serikali walidhibitiwa na jeshi la ardhi yaani army. Sio polisi kama unavyodanganya watu.
Habari katoa vijiweni[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…