KDF to buy 118 top military vehicles to fight al Shabaab

KDF to buy 118 top military vehicles to fight al Shabaab

Swali.
Mlivyo kuwa mna nunua APC zingine upto 2019, Al shaabab walikuwa hawatumii IED?

Yaani as recent as 2019 mmenunua APCs leo mnasema eti mna nunua zingine kwa sababu ya IED, as if kulikuwa hakuna IED before.

Mi naona hapo ni chaka lingine la kuiba hela.

And where are the funds coming from? Please tell me its not another loan.
 
Ninyi wakenya hampungukiwi na visingizio vya kushindwa kwenu, hawa magaidi walipoingia na kuua watanzania mlisema hatutoweza kuwatokomeza, mlisema jeshi letu halina uwezo wa kupigana vita vya ugaidi, tumewashinda ndani ya wiki mbili hamkuamini mkasema watarudi tena, sasa lugha imebadilika mnasema ni watoto wadogo.

Kwahiyo Kenya kushindwa kupambana na ujambazi/crime ndani ya nchi, rushwa, kuzuia kuenea kwa silaha za kivita miongoni mwa jamii za wafugaji, kushindwa kuzalisha chakula cha kutosha, vyote hivyo utatoa sababu gani?

TPDF imeshinda vita vyote ilivyopigana, kuanzia ukombozi kusini mwa Africa, Idd Amin, Comorro, DRC, M23, Liberia, Seychelles na sasa hivi Ugaidi huko Msumbiji, kote huko utatoa sababu gani?

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Wiki mbili zipi hzo[emoji23][emoji23]
 
Aisee Kenya wana Puma na Bastion. Bado wanaongeza hizi kazi ya Mturuki ambazo zinakuwa zikifanya patrol mpakani mwa Syria na vilevile Libya na Azerbaijan. Basi APC fleet yao iko vizuri sana
 
bro it is better upunguze ujuaji.

ujuaji ndio cancer inaumiza wakenya miaka yote,hii gari haina chochote cha kufanya na magaidi.itabakia kiwa gari nzuri ya kupigia picha za kiaskari nothing else.wale jamaa wanafanya cross multiplication wakiona mnasogea zaidi kwao,wanakuja kenya wanaua raia wa kawaida kabisa.

wakati kdf wako somalia ndani ya hizo APC wanapiga selfie.
Kama nipo sahihi ulikuwa 1982 jeshi la Kenya lilijaribu kumpindua Rais Moi,ajabu ikatokea jeshi lilithibitiwa na polisi!mavifaa yote yalishindwa mbele G3 tu.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Uongo. Kama hujui kitu funga mkund*. Jeshi lilidhibitiwa na jeshi. Vijana wachache wa Kenya airforce waliokuwa wamepanga kupindua serikali walidhibitiwa na jeshi la ardhi yaani army. Sio polisi kama unavyodanganya watu.
 
bro it is better upunguze ujuaji.

ujuaji ndio cancer inaumiza wakenya miaka yote,hii gari haina chochote cha kufanya na magaidi.itabakia kiwa gari nzuri ya kupigia picha za kiaskari nothing else.wale jamaa wanafanya cross multiplication wakiona mnasogea zaidi kwao,wanakuja kenya wanaua raia wa kawaida kabisa.

wakati kdf wako somalia ndani ya hizo APC wanapiga selfie.
Km ni waume si wakapigane na vikosi vyetu, na bado kisha special forces wataendelea kuwafinya pumbu zao
 
Uongo. Kama hujui kitu funga mkund*. Jeshi lilidhibitiwa na jeshi. Vijana wachache wa Kenya airforce waliokuwa wamepanga kupindua serikali walidhibitiwa na jeshi la ardhi yaani army. Sio polisi kama unavyodanganya watu.
Habari katoa vijiweni[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom