KDF wamuua gaidi wa al-Shabab na wanawe wawili

KDF wamuua gaidi wa al-Shabab na wanawe wawili

Huelewi wewe..watoto hao walishikwa mateka...so hao shababu wakawa wanawatumia Kama ngao yao..punguza ujuaji boya wewe
Mzungu koko huyo lengo lake kuonyesha ana ujuvi na lugha ya mabeberu.
 
Acha kufanya 'direct translation'. 'Human shield' haimaanishi kwamba eti ni binadamu ameshikiliwa mkononi kama ngao. [emoji38][emoji38][emoji38]
We Black American kwa kujifanya mjuzi hujambo! Mweeeehh!

Hapa swala wala hata sio hicho Kizungu chako uchwara!

Jikite kwenye mada ewe mzungu-koko!
 
We Black American kwa kujifanya mjuzi hujambo! Mweeeehh!
Hapa swala wala hata sio hicho Kizungu chako uchwara!
Jikite kwenye mada ewe mzungu-koko!
Mbona nimetumia kiswahili kuwasilisha hoja zangu zote kwenye uzi huu? Hebu wewe akili kubwa tueleze mada inahusu nini. Maanake kama taarifa ya mada imeandikwa kwa kiingereza na kinakupiga chenga, kujadili mada yenyewe itakuwa ni kama kusoma gazeti juu chini. Naona Mods wamebadilisha kichwa cha uzi ili kiendane na taarifa. Mimi nimetoa tu 'facts' kama zilivyo, ila nipo tayari pia kuelimishwa, uwanja ni wako jombaa.
 
Siku hizi unajitambua. Umeachana na vile viingereza vyako koko!
 
Siku hizi unajitambua. Umeachana na vile viingereza vyako koko!
Kiingereza kipi hicho koko? Utajuaje kiingereza ni koko wakati hata sentensi mbili tu kwenye taarifa ya mada umeshindwa kuzielewa? Naona kauli yako kwamba tujikite kwenye mada umeitupilia kando. Mada ya kiswahili nitaijadi kwa kiswahili, kiingereza hivyo hivyo. Hiyo dhana yenu potovu kwamba mtu hafai kuelewa lugha zaidi ya moja kwa ufasaha ni ya kipumbavu. Hakuna hata siku moja ambapo nitakubali kuingia kwenye kapu hilo la sijui eti 'kujitambua' na kukomalia kwenye lugha moja, iwe ya kiswahili, za asili au hata kiingereza. Hablo perfectamente en el espanol.
 
Back
Top Bottom