Kebehi kwa Juma Mgunda, tumesahau historia?

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Posts
19,675
Reaction score
33,583
Wakuu,

Moja ya kitu kinachoturudisha nyuma ni kupuuza historia. Historia ni mwalimu mzuri unapokuwa katika tafakari ya wapi unaelekea.

Nafahamu humu wapo wakongwe waliofuatilia soka muda mrefu wanaweza kusaidia.

Nchi hii hatua yoyote kubwa tuliyopiga kwenye michuano mikubwa ya soka ilifanikishwa kwa mara ya kwanza na makocha wazawa!

Timu ya Taifa ya Tanzania ilifuzu na kushiriki michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mwaka 1980 chini ya kocha mzawa Joel Bendera.

Simba Sports Club ilifika fainali Kombe la CAF chini ya kocha mzawa King Kibaden Mputa!

Makombe ya timu ya Taifa kwenye michuano ya CECAFA yaliletwa na makocha wazawa!

Inawezekana supercoach Juma Mgunda asifanikiwe kuweka historia kubwa kama wenzake lakini makocha wazawa nchi hii tusiwapuuze! Historia ipo upande wao! Wazungu hawajawahi leta mafanikio yoyote.

Juma Mgunda asipuuzwe! Tunza ujumbe huu....

#nguvumoja
 
Club ya Simba Sports club ilifika fainali kombe la CAF chini ya kocha mzawa King Kibaden Mputa!

Kocha wa kukodishwa kama masufuria ya pilau usitarajie makubwa.
 
Makocha wa kitanzania wanajishisha thamani wenyewe mtu anatoka kua head coach timu A unaenda kua Assistant team B ligi hio hio, au unakuta coach ni Shabiki wa timu flan sasa hapo thamani ataipata wapi ? Mbaya zaid wao hua wanakumbukwa wakati wa dhiki ila kwenye neema wanafungiwa vioo
 
Kwenye neema kwa kweli wazawa wanawekwa pembeni sijui viongozi wetu wana nini? Baadala ya kuwapa neema ndugu zao wapo tayari aneemeke mgeni lakini sio mtz mwenzao.
 
Mgunda cheti cha Caf A hana ko na yeye awezi simama kama kocha mkuu huko Malawi.

Viongozi wa hii timu ni bure kabisa
 
Wakuu,

Moja ya kitu kinachoturudisha nyuma ni kupuuza historia. Historia ni mwalimu mzuri unapokuwa katika tafakari ya wapi unaelekea.

Nafahamu humu wapo wakongwe waliofuatilia soka muda mrefu wanaweza kusaidia.

Nchi hii hatua yoyote kubwa tuliyopiga kwenye michuano mikubwa ya soka ilifanikishwa kwa mara ya kwanza na makocha wazawa!

Timu ya Taifa ya Tanzania ilifuzu na kushiriki michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mwaka 1980 chini ya kocha mzawa Joel Bendera.

Club ya Simba Sports club ilifika fainali kombe la CAF chini ya kocha mzawa King Kibaden Mputa!

Makombe ya timu ya Taifa kwenye michuano ya CECAFA yaliletwa na makocha wazawa!

Inawezekana supercoach Juma Mgunda asifanikiwe kuweka historia kubwa kama wenzake lakini makocha wazawa nchi hii tusiwapuuze! Historia ipo upande wao! Wazungu hawajawahi leta mafanikio yoyote.

Juma Mgunda asipuuzwe! Tunza ujumbe huu....

#nguvumoja
marekebisho cecafa moja kachukua mzungu jan paulsen

Nb .hata yanga mwaka wanacheza makundi caf aliwavusha ni mzawa tito mwaluvanda
 
Asante kwa marekebisho, wazawa wana historia kubwa nchi hii kuliko wageni.
 
Kwani shida hapa ni kocha Juma Mgunda, au ni ule ubabaishaji wa CEO wenu?
 
Wakuu,

Moja ya kitu kinachoturudisha nyuma ni kupuuza historia. Historia ni mwalimu mzuri unapokuwa katika tafakari ya wapi unaelekea.

Nafahamu humu wapo wakongwe waliofuatilia soka muda mrefu wanaweza kusaidia.

Nchi hii hatua yoyote kubwa tuliyopiga kwenye michuano mikubwa ya soka ilifanikishwa kwa mara ya kwanza na makocha wazawa!

Timu ya Taifa ya Tanzania ilifuzu na kushiriki michuano ya kombe la mataifa ya Afrika mwaka 1980 chini ya kocha mzawa Joel Bendera.

Simba Sports Club ilifika fainali Kombe la CAF chini ya kocha mzawa King Kibaden Mputa!

Makombe ya timu ya Taifa kwenye michuano ya CECAFA yaliletwa na makocha wazawa!

Inawezekana supercoach Juma Mgunda asifanikiwe kuweka historia kubwa kama wenzake lakini makocha wazawa nchi hii tusiwapuuze! Historia ipo upande wao! Wazungu hawajawahi leta mafanikio yoyote.

Juma Mgunda asipuuzwe! Tunza ujumbe huu....

#nguvumoja
Mna shida kwenye uongozi wenu ambao wanawadanganya mko sawa na Ahly ,Raja,Mamelodi,Esperance wakkati ukweli bado hamjafika hizo level
 
Subiri kesho tukande Wamalawi kwanza
Huu ujinga wa kushabikia mpira wa Yanga na Simba na kubishana 24/7 ni sumu mbaya sana kwa maendeleo ya nchi yetu. Chunguza sana: mashabiki wengi wanaotumia muda mrefu kwenye kuzungumza na kubishana kuhusu Yanga na Simba ni mafukara. Miaka ya nyuma na mimi nilikuwa nimeingia kwenye huu ujinga ila baada ya kujitambua nimejitoa huko na hunisikii hata siku moja nikizungumzia au kubishana. NB: Nieleweke vizuri. Sikatai ushabiki wa mpira kwani hata mimi ni shabiki. Nalaani ule ujinga wa kulimbukia na kuwekeza nguvu zote kwenye mpira na kusahau mambo ya msingi kwa nchi kama ubovu wa viongozi na ufisadi uliokubuhu. eg husikii watu wanazungumzia hizi tozo kwa nguvu kama mpira.
 
Mgunda cheti cha Caf A hana ko na yeye awezi simama kama kocha mkuu huko Malawi.

Viongozi wa hii timu ni bure kabisa
Sawa
IMG-20220909-WA0022.jpg
 
Huu ujinga wa kushabikia mpira wa Yanga na Simba na kubishana 24/7 ni sumu mbaya sana kwa maendeleo ya nchi yetu. Chunguza sana: mashabiki wengi wanaotumia muda mrefu kwenye kuzungumza na kubishana kuhusu Yanga na Simba ni mafukara. Miaka ya nyuma na mimi nilikuwa nimeingia kwenye huu ujinga ila baada ya kujitambua nimejitoa huko na hunisikii hata siku moja nikizungumzia au kubishana. NB: Nieleweke vizuri. Sikatai ushabiki wa mpira kwani hata mimi ni shabiki. Nalaani ule ujinga wa kulimbukia na kuwekeza nguvu zote kwenye mpira na kusahau mambo ya msingi kwa nchi kama ubovu wa viongozi na ufisadi uliokubuhu. eg husikii watu wanazungumzia hizi tozo kwa nguvu kama mpira.
Huna ushahidi wowote ule kama wale wote wanaobishana humu jukwani kuhusu Yanga na simba ni mafukara. Hivyo kama wewe ulikuwa fukara kwa sababu hiyo, basi ilikuwa ni bahati mbaya sana kwako. Humu kuna watu wana biashara zao, wengine wana kazi zao za maana tu! Na bado ubishani kama kawaida.

Halafu siyo vizuri kuwapangia watu maisha yao. Kama vipi wewe tuache tufurahie maisha yetu bhana. Wewe endelea tu kutuwakilisha huko kwenye kulalamikia tozo, na sisi tutakuwakilisha huku kwenye ubishani wa Yanga na Simba
 
Huu ujinga wa kushabikia mpira wa Yanga na Simba na kubishana 24/7 ni sumu mbaya sana kwa maendeleo ya nchi yetu. Chunguza sana: mashabiki wengi wanaotumia muda mrefu kwenye kuzungumza na kubishana kuhusu Yanga na Simba ni mafukara. Miaka ya nyuma na mimi nilikuwa nimeingia kwenye huu ujinga ila baada ya kujitambua nimejitoa huko na hunisikii hata siku moja nikizungumzia au kubishana. NB: Nieleweke vizuri. Sikatai ushabiki wa mpira kwani hata mimi ni shabiki. Nalaani ule ujinga wa kulimbukia na kuwekeza nguvu zote kwenye mpira na kusahau mambo ya msingi kwa nchi kama ubovu wa viongozi na ufisadi uliokubuhu. eg husikii watu wanazungumzia hizi tozo kwa nguvu kama mpira.
Tumekatazwa kuisema Singida big stars na uhusiano wake na tozo.
 
Back
Top Bottom