Keda Ceramic - Twyford Tiles

Keda Ceramic - Twyford Tiles

Abang

Member
Joined
May 8, 2020
Posts
27
Reaction score
32
Hawa jamaa walitangaza nafasi ya business Specialist kwenye kiwanda Chao kilichopo mkuranga. Nilifanikiwa kuitwa interview Leo ila ikatumwa sms kuwa zoezi limehairishwa mpaka watakapo toa taarifa tena...Kuna yoyote amekutana na jambo kama hili?
 
Aisee Leo wametangaza nafasi gani....duu Bora maana Niko Mwz
 
Kufanya kazi na wachina inahitaji moyo.
Sasa business specialist umlipe laki 3 kweli?
 
Back
Top Bottom