A Abang Member Joined May 8, 2020 Posts 27 Reaction score 32 Jul 26, 2023 #1 Hawa jamaa walitangaza nafasi ya business Specialist kwenye kiwanda Chao kilichopo mkuranga. Nilifanikiwa kuitwa interview Leo ila ikatumwa sms kuwa zoezi limehairishwa mpaka watakapo toa taarifa tena...Kuna yoyote amekutana na jambo kama hili?
Hawa jamaa walitangaza nafasi ya business Specialist kwenye kiwanda Chao kilichopo mkuranga. Nilifanikiwa kuitwa interview Leo ila ikatumwa sms kuwa zoezi limehairishwa mpaka watakapo toa taarifa tena...Kuna yoyote amekutana na jambo kama hili?
sam mirror 1 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2022 Posts 969 Reaction score 2,318 Jul 26, 2023 #2 Wachovu usije enda utapoteza mda wanataka mfanyakazi wa laki tatu
Exformer JF-Expert Member Joined Nov 12, 2018 Posts 842 Reaction score 982 Jul 26, 2023 #3 Na leo wametangaza nafasi nyingn
sam mirror 1 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2022 Posts 969 Reaction score 2,318 Jul 26, 2023 #4 Exformer said: Na leo wametangaza nafasi nyingn Click to expand... Wanazingua kampuni uchwala kila week nafasi za kazi wanatangaza
Exformer said: Na leo wametangaza nafasi nyingn Click to expand... Wanazingua kampuni uchwala kila week nafasi za kazi wanatangaza
Exformer JF-Expert Member Joined Nov 12, 2018 Posts 842 Reaction score 982 Jul 26, 2023 #5 sam mirror 1 said: Wanazingua kampuni uchwala kila week nafasi za kazi wanatangaza Click to expand... Asee
sam mirror 1 said: Wanazingua kampuni uchwala kila week nafasi za kazi wanatangaza Click to expand... Asee
A Abang Member Joined May 8, 2020 Posts 27 Reaction score 32 Jul 26, 2023 Thread starter #6 Aisee Leo wametangaza nafasi gani....duu Bora maana Niko Mwz
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Jul 29, 2023 #7 Kufanya kazi na wachina inahitaji moyo. Sasa business specialist umlipe laki 3 kweli?