Keep your Personal Life Private

Asante mkuu kwa ushauri...
Ila pia sio vzr kuishi maisha yako huku ukijali sana ya watu hutafurahia lolote uliloli achive...
 
Mtoa mada big up Sana

Ila nilitaka kutuma picha uzi selfie na ule wa mikato mikali ya viatu ngoja nikaushe tu 😅
 
Yanikute manini? Ni uoga tuu..yani niache kujitupia status kisa naogopa kulogwa..kuna ishu sema ni private sana labda mipango yangu n.k ila nimekaa kwny ndinga au nipo hotel nzuri niogope kuweka kwny status yangu...
Hapo unakuta kakuomba mtu umkope hela ukamwambia huna ghafla unapost upo hotel amazing


Ama naona umepost upo hoteli ya kitalii halafu kesho unanipigia simu nikukopeshe
 
Sasa Bwana mwingereza social media zilitengenezwa kwa ajili ya nini? Wewe unadhani unaweza kukwepa watu wenye wivu, hila, husuda, fitina, chuki, hasira, kwa kukwepa mitandao ya kijamii? Facebook & Instagram ni kwa ajili ya mapichapicha to keep memories za matukio mbalimbali ya mtu husika. Zamani tulikuwa tunatumia album za picha za makaratasi. Technological imebadilika hatutumii tena hayo bali kwa camera za simu matukio mengi ya binafsi, familia, jamii nk, watu wanayahifadhi kwenye mitandao. Hiyo mitandao imeweka mbadala (option) ya kama picha zako unataka zisionekane na mtu yeyote (private), au unachagua watu fulani ndo wazione (friends), au unaziweka kwa umma (public). Sasa ni wewe kuchagua. Sasa haya mambo ya kuwatia watu hofu wasijinafasi kwa starehe zao eti unaogopa shetani asifuatilie maisha yako ni ushamba! Cha msingi kuwa makini na kile unachokipost kwenye mtandao na weka mipaka ya aina ya watu wa kusocialise (interact) nao vinginevyo utajifanya unajua kumbe hujui!
 
sasa kiongozi tunatafsiri kwa ada hiihii ngama ya mzazi au unatuma mpesa?
 
Sure
 
Na mjali nani sasa?
Wacha husda ziwauwe,
Mfano nimenunua gari natamani nichomoe hadi milango walimwengu wanione nimekaaje..afu we unaweka tinted [emoji38], maisha ni show off.
Kitu ambacho siwezi weka wazi ni mipango yang tu ambayo haijakamilika.
 
Ukianika maisha Yako mtandaoni inabidi uwe na nguvu ya ziada......
 
Usitupangie, kila mtu ashinde mechi zake.
 
3. You will only attract the evil eye on you and your family
Does the evil eye steal money from bank account? Does It demolish the well finished and fully furnished house? Let people brag for their achievements as the way of expressing their Joy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…