MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Most of our private parts are not private. Kama umetembea na mademu 100, viko kwenye public domain
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu kwa ushauri...Kuna faida gani unapata kwa kufanya hivyo???
Hasara ni nyingi ila chache ni kama hizi.
1. Mwenye maendeleo huwa na maadui wasio na sababu.
2. Chuki, husuda na vijicho ambavyo huenda vikakuathiri au la.
Ili kuepuka Shari za namna hiyo ni bora kutojiweka mitandaoni
Hebu zile Mossimo nikoment 🤣 (joking)Asante mkuu kwa ushauri...
Ila pia sio vzr kuishi maisha yako..ukijali sana ya watu hutafurahia lolote uliloli achive...
Hapo unakuta kakuomba mtu umkope hela ukamwambia huna ghafla unapost upo hotel amazingYanikute manini? Ni uoga tuu..yani niache kujitupia status kisa naogopa kulogwa..kuna ishu sema ni private sana labda mipango yangu n.k ila nimekaa kwny ndinga au nipo hotel nzuri niogope kuweka kwny status yangu...
Hahahha 😃Hebu zile Mossimo nikoment 🤣 (joking)
Nitoe koment ya kinyongo kisa Mossimo 🤣🤣Hahahha 😃
Sasa Bwana mwingereza social media zilitengenezwa kwa ajili ya nini? Wewe unadhani unaweza kukwepa watu wenye wivu, hila, husuda, fitina, chuki, hasira, kwa kukwepa mitandao ya kijamii? Facebook & Instagram ni kwa ajili ya mapichapicha to keep memories za matukio mbalimbali ya mtu husika. Zamani tulikuwa tunatumia album za picha za makaratasi. Technological imebadilika hatutumii tena hayo bali kwa camera za simu matukio mengi ya binafsi, familia, jamii nk, watu wanayahifadhi kwenye mitandao. Hiyo mitandao imeweka mbadala (option) ya kama picha zako unataka zisionekane na mtu yeyote (private), au unachagua watu fulani ndo wazione (friends), au unaziweka kwa umma (public). Sasa ni wewe kuchagua. Sasa haya mambo ya kuwatia watu hofu wasijinafasi kwa starehe zao eti unaogopa shetani asifuatilie maisha yako ni ushamba! Cha msingi kuwa makini na kile unachokipost kwenye mtandao na weka mipaka ya aina ya watu wa kusocialise (interact) nao vinginevyo utajifanya unajua kumbe hujui!Keep Your Personal Life Private.
1. Don't advertise your happy marriage on social media
2. Don't advertise your kids achievements on Social media
3. Don't advertise your expensive buys on social media Reality is...
1. Not everyone is going to be happy for you
2. Most of the "Nice" comments you get are just fake
3. You will only attract the evil eye on you and your family
4. You are attracting jealous people in your life
5. You don't know who is saving your pictures and checking your updates
6. You really need to stop this because it may ruin your life, family, marriage and career.
Social Media is the devils eyes, ears and mouth, don't fall in to the devils trap. Let your private life remain private.
sasa kiongozi tunatafsiri kwa ada hiihii ngama ya mzazi au unatuma mpesa?Keep Your Personal Life Private.
1. Don't advertise your happy marriage on social media
2. Don't advertise your kids achievements on Social media
3. Don't advertise your expensive buys on social media Reality is...
1. Not everyone is going to be happy for you
2. Most of the "Nice" comments you get are just fake
3. You will only attract the evil eye on you and your family
4. You are attracting jealous people in your life
5. You don't know who is saving your pictures and checking your updates
6. You really need to stop this because it may ruin your life, family, marriage and career.
Social Media is the devils eyes, ears and mouth, don't fall in to the devils trap. Let your private life remain private.
🤣🤣🤣Sasa kama tatizo ni lugha,umejuwaje kua Mada ni nzuri!?
SureKeep Your Personal Life Private.
1. Don't advertise your happy marriage on social media
2. Don't advertise your kids achievements on Social media
3. Don't advertise your expensive buys on social media Reality is...
1. Not everyone is going to be happy for you
2. Most of the "Nice" comments you get are just fake
3. You will only attract the evil eye on you and your family
4. You are attracting jealous people in your life
5. You don't know who is saving your pictures and checking your updates
6. You really need to stop this because it may ruin your life, family, marriage and career.
Social Media is the devils eyes, ears and mouth, don't fall in to the devils trap. Let your private life remain private.
Ukianika maisha Yako mtandaoni inabidi uwe na nguvu ya ziada......Keep Your Personal Life Private.
1. Don't advertise your happy marriage on social media
2. Don't advertise your kids achievements on Social media
3. Don't advertise your expensive buys on social media Reality is...
1. Not everyone is going to be happy for you
2. Most of the "Nice" comments you get are just fake
3. You will only attract the evil eye on you and your family
4. You are attracting jealous people in your life
5. You don't know who is saving your pictures and checking your updates
6. You really need to stop this because it may ruin your life, family, marriage and career.
Social Media is the devils eyes, ears and mouth, don't fall in to the devils trap. Let your private life remain private.
Utafikiri alitusomesha!Mbona kingreza tena?
Does the evil eye steal money from bank account? Does It demolish the well finished and fully furnished house? Let people brag for their achievements as the way of expressing their Joy.3. You will only attract the evil eye on you and your family