Keith Sweat Vs R Kelly

Keith sweat namkubali sana nyimbo zake kali hakiwa na wale wadada wa kut klos ni noma
 
Well said brother na mimi nashangaa kwa nini watu wanamchukulia poa sana Keith Sweat. Nimependa hiyo list iliyoitoa hapo juu umenikumbusha nguli Bobby Brown huyu jamaa alitisha sana enzi hizo ila umemsahau Luther Vandross
 
Huyo keith sweat ndio namsikia leo mkuu

Halafu uache kumlinganisha RnB Legendary R. Kelly aka Kwaya masta na wasanii wa ajabu ajabu wasiojulikana

R kelly is the best

ila kama unaifuatilia RnB kama haumjui Keith Sweat, kuna mahali una serious serious problem
 
"...You know you are my lover, You got me twisted over you ..."
Bonge la ngoma by the genius himself,
Keith Sweat - Twisted
R Kelly nae ni noma
 
Well said brother na mimi nashangaa kwa nini watu wanamchukulia poa sana Keith Sweat. Nimependa hiyo list iliyoitoa hapo juu umenikumbusha nguli Bobby Brown huyu jamaa alitisha sana enzi hizo ila umemsahau Luther Vandross
"Cruel" ya Bobby Brown ni noma ... Luther Vandross nae ngoma naikubali ni "Dancing With My Father" au cover yake na Mariah Carey ya "Endless Love" (In my point of view) ni bora kuliko original ya Lionel Richie na Diana Ross.
 
Du umenikumbusha Lionel RICHIE pia. Great Mention
 
Reactions: YGM
Binafsi nimefahamu r.Kelly kabla ya Keith sweat, na ulikuwa huniambii kitu kwa r.Kelly. lakini kwasasa r.Kelly hamfikii Keith sweat hata robot toka nimjue kwa kweli Keith sweat nyimbo Ake zina hisia za kimahaba hasa maneno hata midundo yaani ni slow jam ya hatari. Na sasa keith sweat amerudi kwenye game ana nyimbo kama better love,get in,close yaani maneno ya nyimbo za Keith sweat hata kama umegombana na demu lazima akusamehe
 
Mpaka leo sijaona mwanamusic solo artist wa rbn mkali kama Rkelly na Joe Thomas, kwa upande wa group kwangu mimi ni Boys 2 men
Umemaliza....... Nakuunga mkono asilimia zote.
 
Joe Thomas alitikisa pia miaka ya 90s, hawa watu wamepotea kabisa
Actually na miaka ya 2000 hadi sasa bado anatoa nyimbo ingawa ndio hivi media zimeshikwa na watu useless
 
Gerald levert alikua namba ingine plus sauti yake haijawahi tokea hiyo sauti ya simba
 
R.KELLY ni mkali bali KWANGU mimi KEITH SWEET ni MKALI ZAIDI....wimbo wake I'M NOT READY unaishi kila saa kwa kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…