Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Keith sweet unamfahamu leo?Huyo keith sweat ndio namsikia leo mkuu
Halafu uache kumlinganisha RnB Legendary R. Kelly aka Kwaya masta na wasanii wa ajabu ajabu wasiojulikana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Keith sweet unamfahamu leo?Huyo keith sweat ndio namsikia leo mkuu
Halafu uache kumlinganisha RnB Legendary R. Kelly aka Kwaya masta na wasanii wa ajabu ajabu wasiojulikana
Duh eti keth sweat NDIO UNAMSKIA LEO?,Hukua mpenzi wa mziki aiseeHuyo keith sweat ndio namsikia leo mkuu
Halafu uache kumlinganisha RnB Legendary R. Kelly aka Kwaya masta na wasanii wa ajabu ajabu wasiojulikana
Huyo keith sweat ndio namsikia leo mkuu
Halafu uache kumlinganisha RnB Legendary R. Kelly aka Kwaya masta na wasanii wa ajabu ajabu wasiojulikana
Huyu mtu ana sauti tamu nyimbo kali, kama BABY I"M READY, huu wimbo mzuri balaa..
R&B is dead
I like the crew na song yao ACTORMkuu michael learn 2 rock wanapiga mziki wa aina gani?mana wanajua sana
Wale wapenzi wa classic RnB music hasa miaka 1990s, kati ya hawa nguli nani ulimkubali zaidi?? Nafahamu wote walikuwa wakali na wenye vibao hatari sana
Baadhi ya nyimbo bora za Keith Sweat
1. Twisted
2. No body
3. How do you like it
4. Make it last forever
5. Why me Baby
6. I 'll give all my love to you
7. How deep is your love
8. Get up on it (ft. Kut Klose)
9. Its getting better etc
Baadhi ya nyimbo bora za R Kelly
1. Bump n Grind
2. Storm is over
3. Your body is calling
4. I believe I can fly
5. World's greatest
6. I Wish
7. if i can turn back the hand
8. Ignition
9. Same Girl etc
Lets go back to the times Guys
Huyo keith sweat ndio namsikia leo mkuu
Halafu uache kumlinganisha RnB Legendary R. Kelly aka Kwaya masta na wasanii wa ajabu ajabu wasiojulikana
Huyo keith sweat ndio namsikia leo mkuu
Halafu uache kumlinganisha RnB Legendary R. Kelly aka Kwaya masta na wasanii wa ajabu ajabu wasiojulikana
sina wimbo wake hata mmojaNi kweli haumjui Keith Sweat au unatania?
Tafuta wimbo wa "Twisted"sina wimbo wake hata mmoja