Kejeli nilizoambiwa siku naachana naye

Kejeli nilizoambiwa siku naachana naye

Kama nakuona vile.leta story kipindi anasema nakupenda cna mwingie ilikuaje!!!
 
Ulifanya maamuzi sahihi sana japo kwa Kuchelewa sana, Naamini katika kuishi nae kote huko pamoja na mambo mengine mengi ilipaswa ufanye maamuzi sahihi mapema tu ili Kuokoa muda na upate nafasi bora zaidi ya Kujijenga na Kufanya mambo yako ya Maendeleo
 
Kama nakuona vile.leta story kipindi anasema nakupenda cna mwingie ilikuaje!!!
Mbona zipo humu mi nIijitoa Sana muhanga kwake aisee nilimpenda fatilia humu utaona
 
Endelea basi

Wengine huwa tunafurahia kusoma maswahibu ya watu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Haya mambo yasikie kwa mwenzako lakini yanaharibu sana maisha ya watu aiseeh, kuna watu dunia hii hawana utu hata kidogo. Nimependa jamaa alivyoondoka, bila kupigana wala kudaiana chochote, mwanaume unatakiwa uwe na kifua kweli kweli kuliko kufanya mauaji ambayo yangekutesa mpaka sasa.
Hongera kwake kwa kuushinda uwovu wote aliotendewa, Mungu ambariki sana ili aliyempata aishi nae miaka mingi.
 
Natamani kujua maisha yake ya sasa yako vipi ? Na mtoto je?
 
Nitumie namba yake ili nifuatilie maisha ya mtoto [emoji848]
 
Natamani kujua maisha yake ya sasa yako vipi ? Na mtoto je?
Kuhusu maisha yake kwasasa mi sjui Kwa kweli bt uhakika WA kuishi anao maana ni mwalimu degree holder.
Kuhusu mtoto daaah kweli sjui aisee. Ila mi nakumbuka alikuwaga anapenda kumfokea na kumchapa naingilia Kati Sana japo ni sehemu ya malezi Ila mi sipendi kabisa mtoto yeyote Yule kupigwa huwa naumia Sana hata kama ni wajirani.

Taleta kisa baada ya Mimi kuondoka mpaka Leo ni nini anasema kuhusu mimi
 
Nitumie namba yake ili nifuatilie maisha ya mtoto [emoji848]
Hapana Mkuu uwe na Amani nadhani bnafsi nmejipa subra na muda Tu Yule ni mtoto wangu tampata Tu anafanana na Mimi copyright halafu anafanana na wadogo zangu wote kama amezaliwa nao tumbo moja
 
Hapana Mkuu uwe na Amani nadhani bnafsi nmejipa subra na muda Tu Yule ni mtoto wangu tampata Tu anafanana na Mimi copyright halafu anafanana na wadogo zangu wote kama amezaliwa nao tumbo moja

wanawake wakorofi,utumia kinga ya mtoto pale mambo yakiwa mabaya.

kama ulijiongeza asante
 
Aisee kama ni story ya kweli bila makando kando basi ww ni mtu na nusu.
 
Aisee kama ni story ya kweli bila makando kando basi ww ni mtu na nusu.
Kweli hata SASA Nina mke lakini toka nmemuoa sjawahi hata kumkoa konzi kabisa mi ni Wale introvert sina time na Maisha ya mtu
 
wanawake wakorofi,utumia kinga ya mtoto pale mambo yakiwa mabaya.

kama ulijiongeza asante
Yaap ndo leNgO LakE alitegemea kupitia mtoto nisingeliweza kutomtafuta kwasababu ya mtoto ngoja taleta kisa muone anavyopambana kupata mawasiliano yangu pia Kwa Gia ya mtoto
 
Yaap ndo leNgO LakE alitegemea kupitia mtoto nisingeliweza kutomtafuta kwasababu ya mtoto ngoja taleta kisa muone anavyopambana kupata mawasiliano yangu pia Kwa Gia ya mtoto

watu wengi wanakumbana kwa ajili ya mtoto.

na ukifanya hivo .hata kuja kukuletea vurugu kwa ajili ya kisingizio cha mtoto.

kwa uzi wako yani labda mama yake kafa ndo uchukue mtoto
 
Wanawake wanaojifanya kumpanda kichwani mwanaume nawajuliaga. Kuna mmoja kajifanya kunivimbia anirushie vingumi mshenzi, nilimkata makofi ya shingo mpaka alisarenda, akiniona ananisalimia kwa upole anataka turudiane.

Mkuu EL ELYON, pamoja na upole ulionao na uliouonyesha kwa huyo mwanamke, nakupongeza kwa kufanya maamuzi ya kiume, mwanaume unapoamua kitu amua bila kuhofu kwamba wengine watakupinga
 
Back
Top Bottom