Kejeli za Msemaji Wa Simba SC dhidi ya Watani wao Yanga

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Anaandika Msema Ahmedy Ally.

Muda huu wachezaji wetu wapo kambini Mbweni wanakula upepo wa Nchi [emoji1]

Wengine wapo vyumban wanacheza Play Station saafi[emoji106]

Tshabalala kawasha Bluetooth anasikiliza ngoma za mwanae Meja Kunta Twende kidimbwi tuka Enjoy

[emoji1][emoji1] Kapombe kutulia zake anaangalia Movie kwenye simu yake

Wengine wapo busy wanapanga panga nguo za safari huku wanafurahi

Morrison( Kuku wa Makange) anapita kila chumba kuchokoza watu waliopumzika

[emoji1][emoji1][emoji1] Basi Ilimradii rahaaa tuu tukijiandaa na safari saa chache zijazo

Timu zote Africa weekend hii zinasafiri kwenda nchi mbalimbali au zinacheza nyumbani na timu kutoka mataifa mengine

Kama unacheza na vijana kutoka Kinondoni [emoji1][emoji1] wewe ni timu ya kawaida tu kama timu ya Kiwandani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida sana.
20220318_072740129331.jpg
 
Kama unacheza na vijana kutoka Kinondoni [emoji1][emoji1] wewe ni timu ya kawaida tuu kama timu ya Kiwandani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna msemaji hapo labda Mchambaji. Hizi timu zenu ziaajiri wachambaji halafu mnawaita Wasemaji? Huyu na Manara wote Wachambaji tu. Hapo amesema nini zaidi ya kuchamba? Msemaji wa timu anaongelea wachezaji kukata viuno?
 
unateseka ukiwa wapi ? Mkuu
 
Anaandika Msema Ahmedy Ally.

Muda huu wachezaji wetu wapo kambini Mbweni wanakula upepo wa Nchi [emoji1]

Wengine wapo vyumban wanacheza Play Station saafi[emoji106]

Tshabalala kawasha Bluetooth anasikiliza ngoma za mwanae Meja Kunta Twende kidimbwi tuka Enjoy

[emoji1][emoji1] Kapombe kutulia zake anaangalia Movie kwenye simu yake

Wengine wapo busy wanapanga panga nguo za safari huku wanafurahi

Morrison( Kuku wa Makange) anapita kila chumba kuchokoza watu waliopumzika

[emoji1][emoji1][emoji1] Basi Ilimradii rahaaa tuu tukijiandaa na safari saa chache zijazo

Timu zote Africa weekend hii zinasafiri kwenda nchi mbalimbali au zinacheza nyumbani na timu kutoka mataifa mengine

Kama unacheza na vijana kutoka Kinondoni [emoji1][emoji1] wewe ni timu ya kawaida tu kama timu ya Kiwandani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anapoteza kipaji cha uchambaji kwenye mambo ya mpira, ashauriwe aungane na mzee Yusuph au Offside Trick, watatetemesha Afrika nzima kwa taarabu mujarab.
 
Watz ni watu wa hovyoo sana, hivi hili nalo linamchango katika mpira??. Hivi kuwa msemaji wa Simba au yanga mpaka uwe mpuuzi kiasi hiki?.

Watu smart wanafikiria mbali nje vitu vya hovyohovyo, Sasa huyu na mwijaku TOFAUTI Yao ni ipi??.
 
Mkuu Mbona unaandika huku midomo inatetemeka na kikwapa kinatoa unyevunyevu?
Msumari imegonga utosini nini!
 
Anaandika Msema Ahmedy Ally.

Muda huu wachezaji wetu wapo kambini Mbweni wanakula upepo wa Nchi [emoji1]

Wengine wapo vyumban wanacheza Play Station saafi[emoji106]

Tshabalala kawasha Bluetooth anasikiliza ngoma za mwanae Meja Kunta Twende kidimbwi tuka Enjoy

[emoji1][emoji1] Kapombe kutulia zake anaangalia Movie kwenye simu yake

Wengine wapo busy wanapanga panga nguo za safari huku wanafurahi

Morrison( Kuku wa Makange) anapita kila chumba kuchokoza watu waliopumzika

[emoji1][emoji1][emoji1] Basi Ilimradii rahaaa tuu tukijiandaa na safari saa chache zijazo

Timu zote Africa weekend hii zinasafiri kwenda nchi mbalimbali au zinacheza nyumbani na timu kutoka mataifa mengine

Kama unacheza na vijana kutoka Kinondoni [emoji1][emoji1] wewe ni timu ya kawaida tu kama timu ya Kiwandani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah kiwandani Fc
 
Kijana anapigania ugali...Naona anaforce king[emoji2]
 
Back
Top Bottom