Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Anaandika Msema Ahmedy Ally.
Muda huu wachezaji wetu wapo kambini Mbweni wanakula upepo wa Nchi [emoji1]
Wengine wapo vyumban wanacheza Play Station saafi[emoji106]
Tshabalala kawasha Bluetooth anasikiliza ngoma za mwanae Meja Kunta Twende kidimbwi tuka Enjoy
[emoji1][emoji1] Kapombe kutulia zake anaangalia Movie kwenye simu yake
Wengine wapo busy wanapanga panga nguo za safari huku wanafurahi
Morrison( Kuku wa Makange) anapita kila chumba kuchokoza watu waliopumzika
[emoji1][emoji1][emoji1] Basi Ilimradii rahaaa tuu tukijiandaa na safari saa chache zijazo
Timu zote Africa weekend hii zinasafiri kwenda nchi mbalimbali au zinacheza nyumbani na timu kutoka mataifa mengine
Kama unacheza na vijana kutoka Kinondoni [emoji1][emoji1] wewe ni timu ya kawaida tu kama timu ya Kiwandani.
Sent using Jamii Forums mobile app