Keki ya birthday

Keki ya birthday

music mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
485
Reaction score
876
Wiki ijayo ni birthday ya mpenzi wangu.

Anapenda sana cake na chocolate.

Naomba mnisaidie idea simple ya kumfikishia cake by surprise maana mimi nimesafiri ila nataka imfikie kwake makongo.

Naomba mnipe suggestion page ya insta au twitter wanaouza cake tamu yenye ladha nzuri na laini ili niweke order online.
 
Kiongoz umepata namba ninarafik yeye anatengeneza keki aina yoyot unayotaka
 
Piah yupo dar kama unataka nichek namba hii nikuunganishe nae 0622751255
 
Yeye anapenda nini kama music anatengenezew ya muondo wa music kma mpira anatengenezew ya mpira tujue kwanz anapenda nin
 
Back
Top Bottom