music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Wiki ijayo ni birthday ya mpenzi wangu.
Anapenda sana cake na chocolate.
Naomba mnisaidie idea simple ya kumfikishia cake by surprise maana mimi nimesafiri ila nataka imfikie kwake makongo.
Naomba mnipe suggestion page ya insta au twitter wanaouza cake tamu yenye ladha nzuri na laini ili niweke order online.