Ubinafsi huo, kwanini nyie msifunge hadi wao wamalize?Hbari za mida,
Leo nimeweza kuudhuria semina ya mwalimu Christopher Mwakasege. Katika viwanja vya Tanganyika Packers ajabu ni kuwa kuna sound kubwa pembeni yenu inapiga mziki mzito cjui ni tamasha gani hilo linaendelea pale inasababisha sauti zinaingiliana vikali mno ni ombi langu kwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni kudhibiti hali hi wasubiri tumalize saa kumi na mbili waendelee na tamasha lao kwan kila mtu kafunguliaa sound nzito usikivu umepotea.
Mkuu hii n KOMAA CONCERT na kesho itakua LIVE TVE karibu sanaHbari za mida,
Leo nimeweza kuudhuria semina ya mwalimu Christopher Mwakasege. Katika viwanja vya Tanganyika Packers ajabu ni kuwa kuna sound kubwa pembeni yenu inapiga mziki mzito cjui ni tamasha gani hilo linaendelea pale inasababisha sauti zinaingiliana vikali mno ni ombi langu kwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni kudhibiti hali hi wasubiri tumalize saa kumi na mbili waendelee na tamasha lao kwan kila mtu kafunguliaa sound nzito usikivu umepotea.
Habari za mida,

Nani kwenye kibali cha matumizi kwa mda huo,kila mmoja akiwa kambale hakuna suluhu.Ubinafsi huo, kwanini nyie msifunge hadi wao wamalize?
Kupanga ni kuchaguaKwa hyo mkuu niache mahubiri ya mwalimu nije kushangilia komaa concert kesho c leader pia Kuna tamasha
Dar ng'wanangwa mikusanyiko inaruhisiwa mkuu? Kumbe kirusi kipya uzushiMkuu hii n KOMAA CONCERT na kesho itakua LIVE TVE karibu sana
Kutakua na wasanii kibao