goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Habari za mida,
Leo nimeweza kuudhuria semina ya mwalimu Christopher Mwakasege. Katika viwanja vya Tanganyika Packers ajabu ni kuwa kuna sound kubwa pembeni yenu inapiga mziki mzito cjui ni tamasha gani hilo linaendelea pale inasababisha sauti zinaingiliana vikali mno ni ombi langu kwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni kudhibiti hali hi wasubiri tumalize saa kumi na mbili waendelee na tamasha lao kwan kila mtu kafunguliaa sound nzito usikivu umepotea.