Kelele kubwa katika viwanja vya Tanganyika Packers

goroko77

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2019
Posts
8,845
Reaction score
13,072
Habari za mida,

Leo nimeweza kuudhuria semina ya mwalimu Christopher Mwakasege. Katika viwanja vya Tanganyika Packers ajabu ni kuwa kuna sound kubwa pembeni yenu inapiga mziki mzito cjui ni tamasha gani hilo linaendelea pale inasababisha sauti zinaingiliana vikali mno ni ombi langu kwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni kudhibiti hali hi wasubiri tumalize saa kumi na mbili waendelee na tamasha lao kwan kila mtu kafunguliaa sound nzito usikivu umepotea.
 
Ukitoka huko umechanganyikiwa na unaweza kuwa chizi forever usipokuwa makini
 
Hbari za mida,

Leo nimeweza kuudhuria semina ya mwalimu Christopher Mwakasege. Katika viwanja vya Tanganyika Packers ajabu ni kuwa kuna sound kubwa pembeni yenu inapiga mziki mzito cjui ni tamasha gani hilo linaendelea pale inasababisha sauti zinaingiliana vikali mno ni ombi langu kwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni kudhibiti hali hi wasubiri tumalize saa kumi na mbili waendelee na tamasha lao kwan kila mtu kafunguliaa sound nzito usikivu umepotea.
Ubinafsi huo, kwanini nyie msifunge hadi wao wamalize?
 
Wewe sema tu muziki wa bongo fleva unaopigwa hapo unakupenya mpaka kumoyo mpaka unaona mahubiri ni miyayusho tu sasa unatafuta wa kumtupia lawama
 
Hbari za mida,

Leo nimeweza kuudhuria semina ya mwalimu Christopher Mwakasege. Katika viwanja vya Tanganyika Packers ajabu ni kuwa kuna sound kubwa pembeni yenu inapiga mziki mzito cjui ni tamasha gani hilo linaendelea pale inasababisha sauti zinaingiliana vikali mno ni ombi langu kwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni kudhibiti hali hi wasubiri tumalize saa kumi na mbili waendelee na tamasha lao kwan kila mtu kafunguliaa sound nzito usikivu umepotea.
Mkuu hii n KOMAA CONCERT na kesho itakua LIVE TVE karibu sana

Kutakua na wasanii kibao
 
Habari za mida,

Leo nimeweza kuudhuria semina ya mwalimu Christopher Mwakasege. Katika viwanja vya Tanganyika Packers ajabu ni kuwa kuna sound kubwa pembeni yenu inapiga mziki mzito cjui ni tamasha gani hilo linaendelea pale inasababisha sauti zinaingiliana vikali mno ni ombi langu kwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni kudhibiti hali hi wasubiri tumalize saa kumi na mbili waendelee na tamasha lao kwan kila mtu kafunguliaa sound nzito usikivu umepotea.

Hatuendi matamasha ya wezi
 
Back
Top Bottom