comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Wakulima msimu huu wameteseka sana na mvua isiyo na uhakika, watapata hasara kubwa sana.
Si Bunge, wanaharakati wala wasomi waliojitokeza kulisemea hili. Wote wanajua kabisa chakula chetu kinatokana na kilimo. Leo mafuta yanatupigiza kelele kana kwamba yakikosekana tunakufa.
TUNAKWAMA WAPI? Kwenye hili la mafuta; sina mashaka na uwezo wetu wa kufikiri ila nina mashaka na namna tunavyofikiri- kimsingi inaonyesha hatufikiri ila TUNAWAZA TU