Kelele za mafuta zingeelekezwa kwenye kilimo ningeelewa vingenevyo wote tuna tatizo la uono mfupi (myopic)

Kelele za mafuta zingeelekezwa kwenye kilimo ningeelewa vingenevyo wote tuna tatizo la uono mfupi (myopic)

Mimi na familia yangu hatuihitaji mafuta kulima- tunalima tu; tunavuna na kupika siku inaisha; siku ya gulio tunaenda Katerero kubadilishana bidhaa

Inategemea lengo la kilimo chako ni lipi, kama ni kulima na kula labda hapo sawa, lkn kama Kilimo kama biashara bila mafuta haiwezekani kwa Dunia ya leo!
 
Wakulima msimu huu wameteseka sana na mvua isiyo na uhakika, watapata hasara kubwa sana.

Si Bunge, wanaharakati wala wasomi waliojitokeza kulisemea hili. Wote wanajua kabisa chakula chetu kinatokana na kilimo. Leo mafuta yanatupigiza kelele kana kwamba yakikosekana tunakufa.

TUNAKWAMA WAPI? Kwenye hili la mafuta; sina mashaka na uwezo wetu wa kufikiri ila nina mashaka na namna tunavyofikiri- kimsingi inaonyesha hatufikiri ila TUNAWAZA TU
Pamoja Sana mkuu
 
Hicho mnachofanya wewe na familia yako sio kilimo ni KUPALULA!!
hahahahahah ila tunaweka chakula mezani ; milo mitatau ya moto; na hatuguswi na mafuta yenu hayo
 
Inategemea lengo la kilimo chako ni lipi, kama ni kulima na kula labda hapo sawa, lkn kama Kilimo kama biashara bila mafuta haiwezekani kwa Dunia ya leo!
Lengo la kila anachofanya binadamu mwenye hekima na kuweka mlo mezani; akiweza kufanya kwa mikono yake na jasho lake mwenyewe anapata baraka zaidi- imeandikwa tutakula kwa jasho letu. Nyie ishini tu kwa maegemeo kun siku mtalala njaa
 
Kilimo ni Jambo la dahar na dahar na halijawahi kuwekwa sawa..na hivi vilimo vya kisasa wanavyolima wenyewe ndio vimetilinga sama wakulima wa hali ya chini kwa hiyo acha tupige kelele na hili lililo usoni kwa Sasa.
Mkuu halafu mtakuja au mtaishia huko huko maana naona dalili kama la bado linanunikia
 
sawa lakini tatizo la nan? Linagusa watu kiasi gani kuzidi chakula?
Mafuta yalivyopanda, vyakula vinasafirishwa kwa gharama kubwa sana...

Pembejeo zinawafikia wakulima kwa gharama kubwa sana...
 
Matrekta na pampu za maji zinahitaji mafuta.

Back to square one.
 
Mafuta yalivyopanda, vyakula vinasafirishwa kwa gharama kubwa sana...

Pembejeo zinawafikia wakulima kwa gharama kubwa sana...
Mkulima gani wa Tanzania anategemea pembejeo- yaani kwa maana kwamba zikikosekana anaacha kulima?
 
Matrekta na pampu za maji zinahitaji mafuta.

Back to square one.
Kule matengoni hawahitaji trekta; kule Matombo milimani hawahitaji trekta- Ukerewe hakuna trekata ila wakulima wapo- mkuu twende na uhalisia
 
Back
Top Bottom