Kilimo nini kifanyike kujinasua?Wakulima msimu huu wameteseka sana na mvua isiyo na uhakika, watapata hasara kubwa sana.
Si Bunge, wanaharakati wala wasomi waliojitokeza kulisemea hili. Wote wanajua kabisa chakula chetu kinatokana na kilimo. Leo mafuta yanatupigiza kelele kana kwamba yakikosekana tunakufa.
TUNAKWAMA WAPI? Kwenye hili la mafuta; sina mashaka na uwezo wetu wa kufikiri ila nina mashaka na namna tunavyofikiri- kimsingi inaonyesha hatufikiri ila TUNAWAZA TU
... Serikali sikivu ya CCM italifanyia kazi; michakato ilishaanza zamani za kale toka enzi za kilimo kwanza na big results now! Usiwe na wasiwasi.Wakulima msimu huu wameteseka sana na mvua isiyo na uhakika, watapata hasara kubwa sana.
Si Bunge, wanaharakati wala wasomi waliojitokeza kulisemea hili. Wote wanajua kabisa chakula chetu kinatokana na kilimo. Leo mafuta yanatupigiza kelele kana kwamba yakikosekana tunakufa.
TUNAKWAMA WAPI? Kwenye hili la mafuta; sina mashaka na uwezo wetu wa kufikiri ila nina mashaka na namna tunavyofikiri- kimsingi inaonyesha hatufikiri ila TUNAWAZA TU
... kaulimbiu ya Kilimo Kwanza na Big Results Now zifufuliwe zitasaidia sana kuboost kilimo chetu! Baada ya hapo ifufuliwe Serikali ya Viwanda tutafikia level South Korea! Akili zile zile zilizosababisha matatizo yale yale utegemee zitayatatua!Kilimo nini kifanyike ujinasua?
Kama hata tulishindwa kujua umuhimu wa maafisa kilimo na wataalamu wa kilimo ndio mchawi wetu,licha ya uwekezaji kwenye kilimo chenyewe.... kaulimbiu ya Kilimo Kwanza na Big Results Now zifufuliwe zitasaidia sana kuboost kilimo chetu! Baada ya hapo ifufuliwe Serikali ya Viwanda tutafikia level South Korea! Akili zile zile zilizosababisha matatizo yale yale utegemee zitayatatua!
Kwenye jembe la mkono au kutoka kwenye jembe la mkonoTuwasaidie wakulima
Bila petrol/diesel hizo pembejeo zingepelekwa na punda huko mikoani?Wakulima msimu huu wameteseka sana na mvua isiyo na uhakika, watapata hasara kubwa sana.
Si Bunge, wanaharakati wala wasomi waliojitokeza kulisemea hili. Wote wanajua kabisa chakula chetu kinatokana na kilimo. Leo mafuta yanatupigiza kelele kana kwamba yakikosekana tunakufa.
TUNAKWAMA WAPI? Kwenye hili la mafuta; sina mashaka na uwezo wetu wa kufikiri ila nina mashaka na namna tunavyofikiri- kimsingi inaonyesha hatufikiri ila TUNAWAZA TU
Akili yako imeishia hapo? dalili za kukosa akili ni kulaumuBila petrol/diesel hizo pembejeo zingepelekwa na punda huko mikoani?
Miaka 60 ya serikali ya ccm kilimo chetu bado tunategemea mvua na huku mito na mabwaya nchi nzima yamejaa maji!!
Nchi imekosa uongozi wenye maono!
wakulima wapi wanatumia water pump? unaleta habari za darasani mkuuMoja ya ufumbuzi wa mvua zisizoaminika ni kilimo cha umwagiliaji. Wakulima wengi makini sasa hivi wanatumia water [emoji97] pump kumwagilia mashamba yao pale wanapoona mvua inazingua. Nikuulize sasa je unajua hizi water pump zinatumia nini ili waweze kumwagilia?? Zinatumia mchemsho au supu ya kongoro siyo??
Ili huyo mkulima apate mazao inabidi apelekewe mbolea pamoja na pembeheo nyingine , ili apate faida inabidi mazao yasafirishwe huko yanapopatikana kuelekea sokoniWakulima msimu huu wameteseka sana na mvua isiyo na uhakika, watapata hasara kubwa sana.
Si Bunge, wanaharakati wala wasomi waliojitokeza kulisemea hili. Wote wanajua kabisa chakula chetu kinatokana na kilimo. Leo mafuta yanatupigiza kelele kana kwamba yakikosekana tunakufa.
TUNAKWAMA WAPI? Kwenye hili la mafuta; sina mashaka na uwezo wetu wa kufikiri ila nina mashaka na namna tunavyofikiri- kimsingi inaonyesha hatufikiri ila TUNAWAZA TU
MAFUTA ndio kila kitu hata hicho Kilimo kinategemea mafutaWakulima msimu huu wameteseka sana na mvua isiyo na uhakika, watapata hasara kubwa sana.
Si Bunge, wanaharakati wala wasomi waliojitokeza kulisemea hili. Wote wanajua kabisa chakula chetu kinatokana na kilimo. Leo mafuta yanatupigiza kelele kana kwamba yakikosekana tunakufa.
TUNAKWAMA WAPI? Kwenye hili la mafuta; sina mashaka na uwezo wetu wa kufikiri ila nina mashaka na namna tunavyofikiri- kimsingi inaonyesha hatufikiri ila TUNAWAZA TU
Hizo sio lawama ni maswali magumu ambayo wewe na watu wa aina yako mnashindwa kuyajibu ndio maana mnafikiri ni lawama!Akili yako imeishia hapo? dalili za kukosa akili ni kulaumu
Mkuu nakuomba tusidanganyaneMAFUTA ndio kila kitu hata hicho Kilimo kinategemea mafuta
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app