Kelele za wananchi wazalendo zamleta hadharani Makamu wa Rais. Lakini bado twajiuliza; ni sahihi kiongozi wa nchi kuishi nje mwezi bila taarifa rasmi?

Ameajiliwana kulipwa na walipa kodi. yaani wewe binafsi, umlipe mtu halafu asionekane kazini na ukae kimya tu, labda kama una fedha za kumwaga bila ufuatiliaji ndio utaeleweka
Kazi gani ambayo wewe muajiri mwanamchi ulitaka makamu aifanye na haijafanyika mpaka sasa kwa kuwa hakuwepo ?
 
ndugu, wewe una quote maneno yangu, halafu humo humo unataja Chadema... nani kasema kwamba mimi ni mmojawapo wa Chadema? kwa nini usijibu tu bila kutoa maneno hayo ya kujinyea au umezoe kujinyesha na unafikiri kila mtu ndio shughuli yake hiyo? Huyo PM mwenyewe anajulikana kwa Uongo... kumbuka ile ile kauli yake ya Magufuli yupo anachapa kana na anawasalimia na haijawahi hata kuombewa msahama wa uongo, kwa maana hiyo PM hawezi kuwa credible source tangia pale apolidaganya taifa...
 
Kazi gani ambayo wewe muajiri mwanamchi ulitaka makamu aifanye na haijafanyika mpaka sasa kwa kuwa hakuwepo ?
majukumu ya kazi ya mwakamu wa Raisi yapo kikatiba, lakini huko Qatar leo /jana katumwa yule wa nchi Jilani maana yake hakuweza kutimiza majukumu yake
 
Walipoficha alipo/hali ya mwenda zake walifaidika nini
Wewe ndio unatakiwa uthibitishe kwamba walifaidika na jambo hilo na sio wao.

Wao wakisema hawakufocha kwa sababu kuficha jambo hakuwafaidishi kitu.

Wewe ndio uthibitishe kwamba walificha na kuna faida walipata.

Je unao huo uthibitisho wa faida inayopatikana kwa serikali kuficha vifo vya viongozi ?
 
Bila kelele tusingenpata
Nani amuamini mpaka piko rejea aliposema Magufuli anakata mitaa kumbe jamaa kameza ulimi.

CHADEMA tutaendelea kuwaamsha Wananchi Daima mbele UONGO kwetu mwiko.
Hahaha
 
huko Qatar leo /jana katumwa yule wa nchi Jilani maana yake hakuweza kutimiza majukumu yake
Bado haujaweka hoja ya msingi ya kusimamia mkuu.

Bado hsujajua unasimama wapi kati ya
kutoonekana makamu wa raisi

Au kumuwakikisha kiongozi mwingine kama mbadala wake ?

Maan zipo shughuli mbalimbali raisi huwa anawakilishwa lakini bado anaoneksna,hivyo hoja ya msingi bado haujaweka.

Kuna wakati sio lazima kukosoa kila kitu
 
Hoja ya Msingi ni kwamba akisafiri Raisi ( Mfanyakazi wa Umma) huwa tunatangaziwa, mbona hili la Mpango ni kizumguti? kazi gani maalum hiyo aliyokuwa anafanya kisilisili na yeye ni number 2?
 
Asipoonekana maneno, ameonekana maneno Sasa wanadam mnataka Nini?
Acha ujinga, amekaa nje ya mwezi mzima bila taarifa...alikuwa analipwa pesa za nani huko?
Nyie ndo wale wasiyoishiwa ujinga.
 
Was Waswahili shida sana. Mngeambiwa atakuwa nje kwa kazi maalum bado mngepiga kelele. Bora kukaa kimya.
Kazi maalum, kweli nchi hii kuna wajinga wengi...yaani makamu wa Rias anaweza kukaa nje kwa mwezi akifanya kazi isiyotolewa taarifa kwa umma na bado wengine wakaona ni sahihii.
 
Hoja ya Msingi ni kwamba akisafiri Raisi ( Mfanyakazi wa Umma) huwa tunatangaziwa, mbona hili la Mpango ni kizumguti? kazi gani maalum hiyo aliyokuwa anafanya kisilisili na yeye ni number 2?
ni kwa mujibu wa katiba ipi kwamba ni lazima kila safari yake akisafiri basi watu watangaziwe ?

Alafu kumbe hoja sio makamu kutoonekana tena.

Hoja sio kwamba kazi zake haziendi.

Hoja sasa hivi imekuwa akiondoka hamtangaziwi ?

Bado haujajua unasimamia wapi,unakuwa unageukageuka tu kadri ya muda unavyokwenda,hili sio jambo zuri kwa mtanzania mwenye afya ya akili kama wewe.
 
Hii ni dharau kwa wananchi ambao ndio waajiri wakuu.
 
Kikubwa watambue kuwa pamoja na utopolo wao, sisi tuna utu zaidi ya unyama wanaotufanyia
 
Wananchi walikuwa sahihi kuhoji alipo kiongozi wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…