Kelele zimepungua redioni. Elimu haitaki kelele

Kuna mtu kama Zembwela kama atakomaliwa kweli basi itambidi ajikite kwenye uigizaji. Hawezi kuwa na spirit ya kutafuta course work DSJ
Kwani uigizaji hausomewi? Zembwela mtu ambaye ametumia karibu nusu ya umri wake kuelimisha na kuburudisha jamii leo una mdharau kwa sababu ya makaratasi yanayoitwa vyeti?
Wewe una vyeti vimekusaidia nn?
 
Maulid Kitenge alianzia ITV na Redio One zamani sana. Na wakati ule hizi Media zilikuwa zinazingatia sana Professionalism, huyu Jamaa aliingia vipi sehemu kama Ile kama hakuwa Qualified?
 
Maulid alimaliza shule Alharamain Islamic sec. Akaanza kuripoti kwenye magazet nafikir ya Alasiri kipindi hicho.
Abou lyongo alivyoondoka radio one kitenge akachukua nafasi.
Kitenge amesoma na kuhitimu mass comm open.
Tuache siasa kuharibu cv za watu
 
Kwani uigizaji hausomewi? Zembwela mtu ambaye ametumia karibu nusu ya umri wake kuelimisha na kuburudisha jamii leo una mdharau kwa sababu ya makaratasi yanayoitwa vyeti?
Wewe una vyeti vimekusaidia nn?
Hakuna chuo cha uigizaji. Ila kipo chuo cha sanaa. Sanaa unasomea Ila sio uigizaji
 
Hata siasa ingependeza wafanye watu waliosoma baadhi ya kada, sio kama sasa imechaa wachumia tumbo na vilaza...
 
darasa ni muhimu mjuba, watu huanzia from nowhere, kama we ulianzia darasani huyo ni wewe, endelea kujivunia degree yako uliyoisotea kabla ya kuanza kazi
Kama darasa ni muhimu basi hapa tumemaliza.
 
Back
Top Bottom