Kelele zimezidi Wilaya ya Ubungo

Kelele zimezidi Wilaya ya Ubungo

Meshe

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
386
Reaction score
479
Naziomba mamlaka ziliangalie na kulitafutia ufumbuzi suala la uchafuzi wa mazingira kwa makelele. Uchafuzi huu wa ajabu kabisa unaolelewa ni kero kubwa kwa raia na unaathiti sana utulivu wa moyo na akili.

Pengine mahospitalini tunatibiwa magonjwa sugu yanayotokana na adha ya makelele haya.

Kelele hizi zinatokana na matumizi ya vipaza sauti vinavyotumika hovyo bila utaalam.

Maeneo husika ni pamoja na:-

1. Wahubiri walioenea mitaani hasa nyumba za ibada zilizojengwa mitaani kwenye makazi ya watu wanatumia vipaza sauti muda wote.

2. Wahubiri hawa wanaweka vipaza sauti mitaani na katika vituo vya mabasi bila kudhibitiwa. Mfano ni stendi ya daladala ya Mbezi Luis. Tena wengine wanakusanya hela kwa kutishia abiria kuwa wasipotoa sadaka watawaombea wapate mabalaa huko mjini waendako.

3. Vipaza sauti vya wafanyabiashara wadogowadogo zilizotundikwa kila Kona. Mfano wanaosajili line za simu, wauza dawabza mende na kunguni, wauza madawa ya kuongezea nguvu za kiume,n.k.

Naziomba mamlaka zinazohusika wakiwemo Halmashauri ya Ubungo, Mkuu wa Mkoa na NEMC waingilie kati suala hili na kulipatia ufumbuzi wa kudumu. Pia waangalie huu uingizaji holela wa maspika.makubwa ya kichina ambayo watumiaji wengi wana abuse.

Tunayo haki ya kuishi mazingira salama na ya utulivu.

Mpango wa kuwapanga wamachinga uhusishe pia udhibiti wa sauti za makelele zilizoenea mitaani.

Miji safi na tulivu kwa ustawi wa wakaazi na wageni!

U
 
Naomba mamlaka ziliangalie na kulitafutianufumbuzi suala la uchafuzi wa mazingira kwa makelele. Uchafuzi huubwa ajabunkabis ninkero kubwa kwa raia na inaathiti sana utulivu wa moyo na akili.

Pengine mahospitalini tunatibiwa magonjwa sugu yanayotokana na adha ya makelele.

Kelele hizi zinatokana na matimizi ya vipaza sauti vinavyotumika hovyo.

Maeneo husika ni

1. Wahubiri walioenea mitaani hasa nyumba za ibada zilizojengwa mitaani kwenye makazi ya watu wanatumia vipaza sauti muda wote.

2. Wahubiri wanaweka vipaza sauti mitaani na katika vituo vya mabasi bila kudhibitiwa. Mfano ni stendi ya daladala ya Mbezi Luis. Tena wengine wanakusanya hela kwa kutishiaabiria kuwa wasipotoa sadaka watawaombea wapate mabalaa.

3. Vipaza sauti vya wafanyabiashara wadogowadogo zilizotundikwa kila Kona.

Naziomba mamlaka zinazohusika wakiwemo Halmashauri ya Ubungo, Mkuu wa Mkoa na NEMC waingilie kati suala hili na kulipatia ufumbuzi.

Tunayo haki ya kuishi mazingira salama na ya utulivu.

Mpango wa kuwapanga wamachinga uhusishe pia udhibiti wa sauti za makelele zilizoenea mitaani.

Miji safi na tulivu kwa ustawi wa wakaazi na wageni!
Ni kweli tena serikali lazima waingilie kati suala la makanisa na misikiti kupaza sauti kuhubiri.....lazima sheria itolewe kwa yeyote atakayevunja hii sheria ya kuwapigia watu kelele wakiwa wamelala majumbani mwao, tunataka Amani majumbani mwetu tafadhali. Mungu hajasema popote pale wapigieni watu kelele ili muwaaminishe neno langu, never. Kingine, na wauza CD za nyimbo za ngonjera za dini nao wakamatwe pia, wapigwe viboko vya taa si chini ya 200 na kulazimishwa kunywa glass ya maji ya cement. Serikali, wananchi tumechoka kulazimishwa kusikiliza mawaidha ya dini zisizo zetu.
 
NIMESOMA UZI WOTE ILA SIJAONA SEHEMU UKIONGELEA VIPAZA SAUTI VYA MISIKITI

Acha udini mkuu
 
Wala sio udini. Wenzetu waislam sala zao ziko scheduled.
Kwanza adhana inasaidia hata kutuamsha kwenda kanisani asubuhi.

Sisi wakristu ndio tumekuja na mashindano ya kutafuta riziki kupitia injili kila kona kuna mhubiri kashililia kibeseni KUOMBA hela.
Mahubiri yamekuwa ni fujo za KUOMBA hela na kuuziana baraka na miujiza.
Ukishaweza kwenda Kariakoo kununua spika na amplifaya tayari wewe ni mchungaji unachukua kibakuli unawaombea watu unachangisha hela.

Poor Africa!!!

Serikali tusaidieni. Miji imejaa kila aina ya kelele kama kiwanda au kilabu cha komoni!!

Alikuwa rafiki yangu Mjerumani akanitania kuwa hawezi kupata utulivu wa akili kwa kelele hizi.
 
Kwani kuna mtu alienda msikitini kuomba awe anaamshwa?

Zile ni kelele kama kelele nyingine.

Serikali ipige marufuku maspika ya makanisa, vipaza sauti vya misikuti na makelele yote.
 
Naziomba mamlaka ziliangalie na kulitafutia ufumbuzi suala la uchafuzi wa mazingira kwa makelele. Uchafuzi huu wa ajabu kabisa unaolelewa ni kero kubwa kwa raia na unaathiti sana utulivu wa moyo na akili.

Pengine mahospitalini tunatibiwa magonjwa sugu yanayotokana na adha ya makelele haya.

Kelele hizi zinatokana na matumizi ya vipaza sauti vinavyotumika hovyo bila utaalam.

Maeneo husika ni pamoja na:-

1. Wahubiri walioenea mitaani hasa nyumba za ibada zilizojengwa mitaani kwenye makazi ya watu wanatumia vipaza sauti muda wote.

2. Wahubiri hawa wanaweka vipaza sauti mitaani na katika vituo vya mabasi bila kudhibitiwa. Mfano ni stendi ya daladala ya Mbezi Luis. Tena wengine wanakusanya hela kwa kutishia abiria kuwa wasipotoa sadaka watawaombea wapate mabalaa huko mjini waendako.

3. Vipaza sauti vya wafanyabiashara wadogowadogo zilizotundikwa kila Kona. Mfano wanaosajili line za simu, wauza dawabza mende na kunguni, wauza madawa ya kuongezea nguvu za kiume,n.k.

Naziomba mamlaka zinazohusika wakiwemo Halmashauri ya Ubungo, Mkuu wa Mkoa na NEMC waingilie kati suala hili na kulipatia ufumbuzi wa kudumu. Pia waangalie huu uingizaji holela wa maspika.makubwa ya kichina ambayo watumiaji wengi wana abuse.

Tunayo haki ya kuishi mazingira salama na ya utulivu.

Mpango wa kuwapanga wamachinga uhusishe pia udhibiti wa sauti za makelele zilizoenea mitaani.

Miji safi na tulivu kwa ustawi wa wakaazi na wageni!

U
Sijakuelewa?
 
Naunga mkono hoja.
Pia, kazi za fundi chuma, fundi mbao, magari zimekuwa saana na zinahitaji kuangaliwa na kupangiwa utaratibu vinginevyo, ni bomu jingine Kama bomu la machinga
 
Kuna nchi ya afrika mashariki nilienda hakukuwa na huo ujinga.ni kanchi kadogo kanaitwa Rwanda...Wabongo tunaamini makeke kwenye kufanya business
 
Naziomba mamlaka ziliangalie na kulitafutia ufumbuzi suala la uchafuzi wa mazingira kwa makelele. Uchafuzi huu wa ajabu kabisa unaolelewa ni kero kubwa kwa raia na unaathiti sana utulivu wa moyo na akili.

Pengine mahospitalini tunatibiwa magonjwa sugu yanayotokana na adha ya makelele haya.

Kelele hizi zinatokana na matumizi ya vipaza sauti vinavyotumika hovyo bila utaalam.

Maeneo husika ni pamoja na:-

1. Wahubiri walioenea mitaani hasa nyumba za ibada zilizojengwa mitaani kwenye makazi ya watu wanatumia vipaza sauti muda wote.

2. Wahubiri hawa wanaweka vipaza sauti mitaani na katika vituo vya mabasi bila kudhibitiwa. Mfano ni stendi ya daladala ya Mbezi Luis. Tena wengine wanakusanya hela kwa kutishia abiria kuwa wasipotoa sadaka watawaombea wapate mabalaa huko mjini waendako.

3. Vipaza sauti vya wafanyabiashara wadogowadogo zilizotundikwa kila Kona. Mfano wanaosajili line za simu, wauza dawabza mende na kunguni, wauza madawa ya kuongezea nguvu za kiume,n.k.

Naziomba mamlaka zinazohusika wakiwemo Halmashauri ya Ubungo, Mkuu wa Mkoa na NEMC waingilie kati suala hili na kulipatia ufumbuzi wa kudumu. Pia waangalie huu uingizaji holela wa maspika.makubwa ya kichina ambayo watumiaji wengi wana abuse.

Tunayo haki ya kuishi mazingira salama na ya utulivu.

Mpango wa kuwapanga wamachinga uhusishe pia udhibiti wa sauti za makelele zilizoenea mitaani.

Miji safi na tulivu kwa ustawi wa wakaazi na wageni!

U
Wahubiri hawa wanaweka vipaza sauti mitaani na katika vituo vya mabasi bila kudhibitiwa. Mfano ni stendi ya daladala ya Mbezi Luis. Tena wengine wanakusanya hela kwa kutishia abiria kuwa wasipotoa sadaka watawaombea wapate mabalaa huko mjini waendako.[emoji23]
 
Noise pollusion ipo Kariakoo karibu na kituo cha polisi. Niliikuta pale miaka miwili iliyopita
 
Majini na mapepo yakisikia jina la Yesu kristo yanaogopa na kutetemeka..acheni kristo ahubiriwe mkapate kuokolewa ile siku ya hukumu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kiongozi, naona umesahau na music wa sauti ya juu sana kwenye bar, hawa jamaa ni janga la Kitaifa. Usiku thakuna kulala kwa wale wanao ishi maeneo yanayo zunguka bar
 
Hejaelewa nini. Makelele ni chanzo cha kuwa na akili yenye wenge. Yaani akili ambayo haijatulia.
Ubongo inahitaji utulivu ili Ku rejuvenate. Hivi unawezaje kuandika vitabu au kaxinyoyote ya ubunifu nkwenye vurugu hizi.

Makelele yawe ya baa au ya ibada kelele ni kelele ni kero kwa wasiohusika!!

Serikali inao wajibu wa kulinda raia wao na kero hizi.
 
Mrejesho:

Naona kuna mabadiliko makubwa sana kwenye Bar tulizo lalamikia kuwa na Kalele! Asante mamlaka, walau watoto wanalala sasa.

Hakika Serikali iko macho 24hrs.

Kwanini hivi vyombo simamizi huwa vinasubiri mpaka watu kupiga makelele,?
 
Sijui kwann UN kupitia shirika la la makazi wataki kututambua ya kuwa DSM NI Jiji korofi kisofi kigego chafuzi la mazingira
 
Back
Top Bottom