Kelvin Hart ni nani na ana kipaji gani?

Kelvin Hart ni nani na ana kipaji gani?

google mkuu

Unapendekeza nika google? Okay.

Naomba na mimi nikupe ushauri matumizi ya google yanakwenda kwenda vipi. Google au internet sources kwa ujumla ni sehemu nzuri ya kutafuta facts, sio opinions. Ningeuliza Kevin Hart ni mfupi kiasi gani ungeweza kusema "nenda ka google."

Lakini ukitoa opinion kwamba Kevin Hart is a genius basi ni wewe ndio una jukumu la ku substantiate madai yako Kevin Hart ana u genius gani. Unapata picha?

Wikipedia au sources nyinginezo zenye profiles za watu si mara nyingi zikatoa opinion kwamba fulani ni genius!

Kevin Hart alianza acts zake kwa kumuiga-iga Chris Rock na mara nyingi alizomewa zomewa na kufukuzwa kwenye stage mpaka kufikia kurushiwa vipande vya nyama za kuku. Baadae akaja improve taratibu na kupewa movie roles.

Katika maisha ya kawaida Kevin Hart ni mlevi mmoja ambae huwa anakamatwa-kamatwa akiendesha gari akiwa mitungi na kusababisha ajali. Sioni u-genius wake on or off stage.

Chris Rock on the other hand is a genius, he makes you think na kwenye vichekesho vyake anaweza ku navigate maeneo ambayo ni hot button issues kwenye jamii, kwa mfano anaweza kukandia social programs ambazo ni popular among watu masikini, watu weusi, na wakamuelewa. Kwa mfano Welfare and W.I.C.
 
Angalia forbes most paid actor/comedian 2016 kevin ndio namba 1. Kawafunika mpaka kina vid diesel/the rock ni mtu wa juu sana kwenye tasnia ya holywood na usa.

Pia ni namba 6 world highest paid celebrity baada ya ronadlo.
The World's Highest-Paid Celebrities
 
Unapendekeza nika google? Okay.

Naomba na mimi nikupe ushauri matumizi ya google yanakwenda kwenda vipi. Google au internet sources kwa ujumla ni sehemu nzuri ya kutafuta facts, sio opinions. Ningeuliza Kevin Hart ni mfupi kiasi gani ungeweza kusema "nenda ka google."

Lakini ukitoa opinion kwamba Kevin Hart is a genius basi ni wewe ndio una jukumu la ku substantiate madai yako Kevin Hart ana u genius gani. Unapata picha?

Wikipedia au sources nyinginezo zenye profiles za watu si mara nyingi zikatoa opinion kwamba fulani ni genius!

Kevin Hart alianza acts zake kwa kumuiga-iga Chris Rock na mara nyingi alizomewa zomewa na kufukuzwa kwenye stage mpaka kufikia kurushiwa vipande vya nyama za kuku. Baadae akaja improve taratibu na kupewa movie roles.

Katika maisha ya kawaida Kevin Hart ni mlevi mmoja ambae huwa anakamatwa-kamatwa akiendesha gari akiwa mitungi na kusababisha ajali. Sioni u-genius wake on or off stage.

Chris Rock on the other hand is a genius, he makes you think na kwenye vichekesho vyake anaweza ku navigate maeneo ambayo ni hot button issues kwenye jamii, kwa mfano anaweza kukandia social programs ambazo ni popular among watu masikini, watu weusi, na wakamuelewa. Kwa mfano Welfare and W.I.C.

dogo that was just a joke...dont take serious
 
Usipoachana na bongo muvi utapitwa na mengi dunia hii
 
Stand up comedian . and actor.... He's famous than diamond. Check out his latest work. "Central Intelligence' yuko na Dwayne " The Rock" Johnson. Juzi juzi hapa amefunga ndoa.
Matter of fact jamaa ni genius. Pia tafta think like a men
I like Kelvin Hart but he is not genius. Not even close.
 
Unapendekeza nika google? Okay.

Naomba na mimi nikupe ushauri matumizi ya google yanakwenda kwenda vipi. Google au internet sources kwa ujumla ni sehemu nzuri ya kutafuta facts, sio opinions. Ningeuliza Kevin Hart ni mfupi kiasi gani ungeweza kusema "nenda ka google."

Lakini ukitoa opinion kwamba Kevin Hart is a genius basi ni wewe ndio una jukumu la ku substantiate madai yako Kevin Hart ana u genius gani. Unapata picha?

Wikipedia au sources nyinginezo zenye profiles za watu si mara nyingi zikatoa opinion kwamba fulani ni genius!

Kevin Hart alianza acts zake kwa kumuiga-iga Chris Rock na mara nyingi alizomewa zomewa na kufukuzwa kwenye stage mpaka kufikia kurushiwa vipande vya nyama za kuku. Baadae akaja improve taratibu na kupewa movie roles.

Katika maisha ya kawaida Kevin Hart ni mlevi mmoja ambae huwa anakamatwa-kamatwa akiendesha gari akiwa mitungi na kusababisha ajali. Sioni u-genius wake on or off stage.

Chris Rock on the other hand is a genius, he makes you think na kwenye vichekesho vyake anaweza ku navigate maeneo ambayo ni hot button issues kwenye jamii, kwa mfano anaweza kukandia social programs ambazo ni popular among watu masikini, watu weusi, na wakamuelewa. Kwa mfano Welfare and W.I.C.
Mkuu acha kupotosha. Kelvin Hart sio mlevi.
 
Aisee sijui hata ,huyu jamaa kwenye stand up comedy ni bora nimwangalie Criss Rock kuliko Hart ,labda kwenye maeneo mengine ndio yuko vizuri

Kwenye episode moja ya real husbands of hollywood Chris Rock alikuwemo akawa anamtania Kelvin akasema "... I hosted the oscars, you hosted the roscoes. I'm like Prince and you're like Trey Songz ..."
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
images
images

Ila King wa stand up to the time being ni Chris Rock.
 
Huyo jamaa anajua sana,,stand comedy yuko poa,movie pia yuko poa sana
 
Back
Top Bottom