Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashawahi bet awards hadi bet hip hop awardsHuyu jamaa amewahi kuwa host BET AWARDS???
Kashawahi bhnHajawahi
Asante. Mi huwa namuona anapiga kelele tu. Uswahilini tunasema ni nyota tu, kama ya Mzee Majuto.Aisee sijui hata ,huyu jamaa kwenye stand up comedy ni bora nimwangalie Criss Rock kuliko Hart ,labda kwenye maeneo mengine ndio yuko vizuri
Tayari. Kwani 2013 host alikuwanani?Hajawahi
google mkuu
Unapendekeza nika google? Okay.
Naomba na mimi nikupe ushauri matumizi ya google yanakwenda kwenda vipi. Google au internet sources kwa ujumla ni sehemu nzuri ya kutafuta facts, sio opinions. Ningeuliza Kevin Hart ni mfupi kiasi gani ungeweza kusema "nenda ka google."
Lakini ukitoa opinion kwamba Kevin Hart is a genius basi ni wewe ndio una jukumu la ku substantiate madai yako Kevin Hart ana u genius gani. Unapata picha?
Wikipedia au sources nyinginezo zenye profiles za watu si mara nyingi zikatoa opinion kwamba fulani ni genius!
Kevin Hart alianza acts zake kwa kumuiga-iga Chris Rock na mara nyingi alizomewa zomewa na kufukuzwa kwenye stage mpaka kufikia kurushiwa vipande vya nyama za kuku. Baadae akaja improve taratibu na kupewa movie roles.
Katika maisha ya kawaida Kevin Hart ni mlevi mmoja ambae huwa anakamatwa-kamatwa akiendesha gari akiwa mitungi na kusababisha ajali. Sioni u-genius wake on or off stage.
Chris Rock on the other hand is a genius, he makes you think na kwenye vichekesho vyake anaweza ku navigate maeneo ambayo ni hot button issues kwenye jamii, kwa mfano anaweza kukandia social programs ambazo ni popular among watu masikini, watu weusi, na wakamuelewa. Kwa mfano Welfare and W.I.C.
Kuna movie yake naipenda sanaJamaa anachekesha sana aisee.
Tafuta movie moja inaitwa the wedding ringer kama sijakosea.
Inaitwaje mkuu.Kuna movie yake naipenda sana
Yeah mara kibaoHuyu jamaa amewahi kuwa host BET AWARDS???
I like Kelvin Hart but he is not genius. Not even close.Stand up comedian . and actor.... He's famous than diamond. Check out his latest work. "Central Intelligence' yuko na Dwayne " The Rock" Johnson. Juzi juzi hapa amefunga ndoa.
Matter of fact jamaa ni genius. Pia tafta think like a men
Mkuu acha kupotosha. Kelvin Hart sio mlevi.Unapendekeza nika google? Okay.
Naomba na mimi nikupe ushauri matumizi ya google yanakwenda kwenda vipi. Google au internet sources kwa ujumla ni sehemu nzuri ya kutafuta facts, sio opinions. Ningeuliza Kevin Hart ni mfupi kiasi gani ungeweza kusema "nenda ka google."
Lakini ukitoa opinion kwamba Kevin Hart is a genius basi ni wewe ndio una jukumu la ku substantiate madai yako Kevin Hart ana u genius gani. Unapata picha?
Wikipedia au sources nyinginezo zenye profiles za watu si mara nyingi zikatoa opinion kwamba fulani ni genius!
Kevin Hart alianza acts zake kwa kumuiga-iga Chris Rock na mara nyingi alizomewa zomewa na kufukuzwa kwenye stage mpaka kufikia kurushiwa vipande vya nyama za kuku. Baadae akaja improve taratibu na kupewa movie roles.
Katika maisha ya kawaida Kevin Hart ni mlevi mmoja ambae huwa anakamatwa-kamatwa akiendesha gari akiwa mitungi na kusababisha ajali. Sioni u-genius wake on or off stage.
Chris Rock on the other hand is a genius, he makes you think na kwenye vichekesho vyake anaweza ku navigate maeneo ambayo ni hot button issues kwenye jamii, kwa mfano anaweza kukandia social programs ambazo ni popular among watu masikini, watu weusi, na wakamuelewa. Kwa mfano Welfare and W.I.C.
Aisee sijui hata ,huyu jamaa kwenye stand up comedy ni bora nimwangalie Criss Rock kuliko Hart ,labda kwenye maeneo mengine ndio yuko vizuri
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kwenye episode moja ya real husbands of hollywood Chris Rock alikuwemo akawa anamtania Kelvin akasema "... I hosted the oscars, you hosted the roscoes. I'm like Prince and you're like Trey Songz ..."
Kuwa kituko na kuchekesha watu, siku hizi ninigeneus huu!!U genius wake nini?