Kelvin Hart ni nani na ana kipaji gani?

Kelvin Hart ni nani na ana kipaji gani?

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Habarini....kuna watu wengi mimi siwafahamu na ila wengine naweza kuwafahamu kupitia mtu mwingine! Sasa huyu Kelvin Hart mimi simfahamu kabisa ila Jana nimeona Video akiwa na Diamond Platnumz na 'Diamond akaandika always representing my country and Africa'

Mbele kidogo akapost video akionekana anatengeza beat Katika bonge moja La studio huko Marekani akaweka captio kuonesha yeye haongei au hana cha kuongea!

Nimeamua kufungua account ya Kelvin Hart nikaona ana Followers MILLION 41.5 yaani Mara 20 ya Followers wa Diamond nikasema hee huyu jamaa kumbe ni Star mkubwa hivi na Insta wameverify ila mimi kiukweli simfahamu

Kwa wanao mfahamu watupe majibu basi hope mtasaidia watu wengine kama mimi,huyu Kelvin Hart ni nani
 
Stand up comedian . and actor.... He's famous than diamond. Check out his latest work. "Central Intelligence' yuko na Dwayne " The Rock" Johnson. Juzi juzi hapa amefunga ndoa.
Matter of fact jamaa ni genius. Pia tafta think like a men
 
Kama unapenda movie ungekuwa unamfahau au kama ni mfuatiliaji wa stand up comedy ungemjua , ni moja ya actor wakubwa sana marekani na comedian latest movie aliyoshiriki ni kwenye, The secret life of pets (as snow ball) pia central intelligence, nyingine ni kama Get hard, the wedding ringer, ride along, think like a man, kevin hart laugh at my pain na kushirikishwa nyingine kibao,, kwa msaada zaidi ingia google.
 
kevin hart ni mtu mkubwa sana usa.... sana na sana.. ni kina mpoki na joti wa usa huyoooo
 
Katika list ya ya mastaaa wanaoingiza mpunga mrefu duniani yupo nafasi ya sita akiwa na thamani ya usd 87.5 million, kwa pesa za madafu ni kama bilioni 200, akiwa nyuma ya Tylor Swift, one Direction, CR7
 
Kaangalie movie ya Ride Along
 
Habarini....kuna watu wengi mimi siwafahamu na ila wengine naweza kuwafahamu kupitia mtu mwingine! Sasa huyu Kelvin Hart mimi simfahamu kabisa ila Jana nimeona Video akiwa na Diamond Platnumz na 'Diamond akaandika always representing my country and Africa'

Mbele kidogo akapost video akionekana anatengeza beat Katika bonge moja La studio huko Marekani akaweka captio kuonesha yeye haongei au hana cha kuongea!

Nimeamua kufungua account ya Kelvin Hart nikaona ana Followers MILLION 41.5 yaani Mara 20 ya Followers wa Diamond nikasema hee huyu jamaa kumbe ni Star mkubwa hivi na Insta wameverify ila mimi kiukweli simfahamu

Kwa wanao mfahamu watupe majibu basi hope mtasaidia watu wengine kama mimi,huyu Kelvin Hart ni nani

Kelvin~Kevin
Kevin Darnell Hart is an American actor, comedian, writer, and producer.
 
Habarini....kuna watu wengi mimi siwafahamu na ila wengine naweza kuwafahamu kupitia mtu mwingine! Sasa huyu Kelvin Hart mimi simfahamu kabisa ila Jana nimeona Video akiwa na Diamond Platnumz na 'Diamond akaandika always representing my country and Africa'

Mbele kidogo akapost video akionekana anatengeza beat Katika bonge moja La studio huko Marekani akaweka captio kuonesha yeye haongei au hana cha kuongea!

Nimeamua kufungua account ya Kelvin Hart nikaona ana Followers MILLION 41.5 yaani Mara 20 ya Followers wa Diamond nikasema hee huyu jamaa kumbe ni Star mkubwa hivi na Insta wameverify ila mimi kiukweli simfahamu

Kwa wanao mfahamu watupe m
images
ajibu basi hope mtasaidia watu wengine kama mimi,huyu Kelvin Hart ni nani
images
images
 
Back
Top Bottom