Kelvin Hart ni nani na ana kipaji gani?

Kelvin Hart ni nani na ana kipaji gani?

Hivi hujawahi hata kuangalia MTV awards au BET awards shows??
 
Umenikumbusha mara ya kwanza kumjua.nlikuwa nalinganisha hadhi za watu kwa kuangalia likes instagrem.

Nimetoka bongo kwa diamond akiwa anaongoza bongo na likes 12000 likes.nikaenda kwa paquiao nikakuta 90000-100000 likes macho yakanitoka.nika mfollow hapo hapo nikaletewa myweather nikakuta 200, 000likes nikafollow akaja yeye sasa nikakuta 250,000likes ikabidi nimchimbe nikagundua ni mchekeshaji maarufu sana huko.
 
Lil Wayne akipost ndani ya Just now tu ina likes 5000.
 
Tusichoshane basi, ingia wikipedia yake utaona ubuyu wake wote. Binafsi nilianza kumfahamu alivyokuwa akihost tuzo za BET 2011
sasa anakuchosha au unajichosha mwenyewe? nani kakwambia ufungu uzi huu?
 
Hauna channel ya BET kwenye king'amuzi chako?
ana kipindi cha komedy
kinaitwa 'the real husband of Hollywood'
 
Tafuta pia ride along 1-2 aliyocheza Na ice cube
 
Aisee sijui hata ,huyu jamaa kwenye stand up comedy ni bora nimwangalie Criss Rock kuliko Hart ,labda kwenye maeneo mengine ndio yuko vizuri
Angalia movie zake utamwelewa, Try hard 2015, Central Intelligence 2016 etc kweli anakipaji na ni star kwelikweli!!
Tusichoshane basi, ingia wikipedia yake utaona ubuyu wake wote. Binafsi nilianza kumfahamu alivyokuwa akihost tuzo za BET 2011
 
USA wana mastar mamia...
sisi mastar wetu halisi ni kama watatu tu au wanne
 
Angalia movie zake utamwelewa, Try hard 2015, Central Intelligence 2016 etc kweli anakipaji na ni star kwelikweli!!
Nishaangalia Movie zake ,tatizo langu lipo kwenye stand up comedy ,akiwa jukwaani mwenyewe akijaribu kuchekesha watu ,mimi hapa bora Chriss Rock
 
Back
Top Bottom