Watanzania Wasimloge tuAkapambane haswa maana pale Genk kuna mnaija anaitwa Paul Onuachu ni hatari sana yule kiumbe. Nimeona pia Genk wanasema kelvin ni strong na yuko fasta hivi ni kweli?
Kama hajachezea timunya taifa ya wakubwa tumpange haraka hata mechi moja...
Strong sijui sijamuona kitambo kidogo, huenda kaimprove, ila yuko faster mnooo.Akapambane haswa maana pale Genk kuna mnaija anaitwa Paul Onuachu ni hatari sana yule kiumbe. Nimeona pia Genk wanasema kelvin ni strong na yuko fasta hivi ni kweli?
Strong sijui sijamuona kitambo kidogo, huenda kaimprove, ila yuko faster mnooo.
Naamini ameshafika miaka 18, akicheza ni commitment...Ili iweje?
Timu ya wakubwa, timu Ani team A au B?
Sijui, labda kwa aina ya uchezaji wake wa kasi, na anashambulia vizuri tokea kote.Basi kila la kheri kwake. Naona wabogo wanamuita Mbappe kwann?
Ili wamtie nuksiIli iweje?
Yasije kutukuta ya Yusuph poulsen, msambaa anakipiga euro championship na Denmark sio ?Kama hajachezea timunya taifa ya wakubwa tumpange haraka hata mechi moja...
Wakati anacheza UMISETA mwanza alikuwa strongAkapambane haswa maana pale Genk kuna mnaija anaitwa Paul Onuachu ni hatari sana yule kiumbe. Nimeona pia Genk wanasema kelvin ni strong na yuko fasta hivi ni kweli?