omujubi
JF-Expert Member
- Dec 6, 2011
- 4,326
- 2,506
Sikuwahi kumfuatilia sana Mbwana Samatta lakini kwa haraka haraka anaonekana ni mtu mungwana na mkarimu tofauti na 'mastaa' wengi wa Kitanzania. Pia hapa kaongeza kingine kwa kumshika mkono mwenzake badala ya kuendeleza majigambo ya mafanikio binafsi tofauti na wengi wetu tulivyo.
Kila la kheri, kaka alifungua njia na wewe enenda humo humo kwa kuendeleza mazuri yake ikiwa ni pamoja na adabu ya fani
Kila la kheri, kaka alifungua njia na wewe enenda humo humo kwa kuendeleza mazuri yake ikiwa ni pamoja na adabu ya fani