Kelvin John asajiliwa na KRC Genk ya Belgium

Kelvin John asajiliwa na KRC Genk ya Belgium

Sikuwahi kumfuatilia sana Mbwana Samatta lakini kwa haraka haraka anaonekana ni mtu mungwana na mkarimu tofauti na 'mastaa' wengi wa Kitanzania. Pia hapa kaongeza kingine kwa kumshika mkono mwenzake badala ya kuendeleza majigambo ya mafanikio binafsi tofauti na wengi wetu tulivyo.
Kila la kheri, kaka alifungua njia na wewe enenda humo humo kwa kuendeleza mazuri yake ikiwa ni pamoja na adabu ya fani
 
Mshambuliaji kinda wa Tanzania, Kelvin John "Mbappe" ame sign mkataba wa miaka 3 na timu ya KRC Genk ya ligi kuu ya Belgium

Timu ya Genk ndio timu aliyokuwa anaichezea nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta kabla ya kujiunga na Aston Villa

Kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa KRC Genk, wamethibisha kumsajili Mtanzania huyo

Kila la heri kwa Kelvin John kwenye majukumu yake hayo mapyaView attachment 1829733
Hata kama anaoteaga magoli....ila mvuto sifuri.
 
Ahakikishe ndani ya miaka miwili anacheza moja ya ligi tano bora ulaya na sio lazima premier league.

Sisi wabongo sijui kwanini ile ligi tunaipenda sana.
 
Kiukwel sijawahi mshuhudia huyo dogo akisakata kabumbu, sasa nitaanza kumfuatilia. Nimeona comment yake baada ya kutambulishwa inaonyesha anajitambua. Muhimu akaze sana, kama kweli yuko njema atafika mbali sana.
Dogo yuko vizuri saana, na kaenda ulaya bado mdogo akikaza tu, atafika mbali.
 
Mshambuliaji kinda wa Tanzania, Kelvin John "Mbappe" ame sign mkataba wa miaka 3 na timu ya KRC Genk ya ligi kuu ya Belgium

Timu ya Genk ndio timu aliyokuwa anaichezea nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta kabla ya kujiunga na Aston Villa

Kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa KRC Genk, wamethibisha kumsajili Mtanzania huyo

Kila la heri kwa Kelvin John kwenye majukumu yake hayo mapyaView attachment 1829733
25 June 2021
Genk, Belgium

Tanzanian top talent Kelvin John chooses KRC Genk​

Tanzanian top talent Kelvin John chooses KRC Genk

25-06-2021
KRC Genk has attracted Tanzanian attacker Kelvin John (18). He has signed a contract for three seasons, until mid-2024, with an option for two additional seasons.

Kelvin John is considered a great talent, is physically strong and fast. With the youth selections of Tanzania, he impressed at every major tournament. It earned him the nickname 'the Tanzanian Mbappé'.

He was only 15 and already shone in the Africa Cup U17 and as a barely 16-year-old was in the preselection for the 'real' Africa Cup. Kelvin was tipped off to the club by Ally Samatta a few years ago.

Until recently he was active in the reputed Brooke House Football Academy in Leicester. He had to wait until his eighteenth birthday earlier this month to sign a professional contract in Europe. That has now happened.

Kelvin John starts the preparation with the A-squad under coach John van den Brom. We are looking forward to!
Source : Tanzaniaans toptalent Kelvin John kiest voor KRC Genk | KRC Genk
 
Back
Top Bottom