Mshambuliaji kinda wa Tanzania, Kelvin John "Mbappe" ame sign mkataba wa miaka 3 na timu ya KRC Genk ya ligi kuu ya Belgium
Timu ya Genk ndio timu aliyokuwa anaichezea nahodha wa Tanzania Mbwana Samatta kabla ya kujiunga na Aston Villa
Kupitia ukurasa rasmi wa Instagram wa KRC Genk, wamethibisha kumsajili Mtanzania huyo
Kila la heri kwa Kelvin John kwenye majukumu yake hayo mapya